Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

report imetolewa na taasisi inayojulikana kwa jina la focus economics yenye ofisi zake Barcelona, Spain.
View attachment 854739

ukichunguza sana utagundua report yao inakinzana na taarifa ya IMF iliyotolewa mwezi june, 2018 ambapo tanzania haimo katika orodha ya nchi 28 masikini zaidi duniani,achilia mbali hizo 10 za focus economics. yaani hata uitafute kwa kurunzi au darubini, bado tanzania huwezi kuiona.

ifahamike tu kwamba IMF au WB ndio taasisi za kuaminika zaidi katika kutoa report inayohusu nchi zenye masikini mkubwa duniani.

kwa anayetaka kujiridhisha zaidi afungue link hii : https://nordic.businessinsider.com/poorest-countries-in-the-world-2018-5/
 
hahahaha sijawahi skia utajiri wa makaratasi...hio ndio naskia leo
 
hahahaha sijawahi skia utajiri wa makaratasi...hio ndio naskia leo

Kumbe ndiyo maana tunapata shida sana kwenye kuwaelimisha hapa kwenye jamvi.
Kuna real gdp na norminal gdp. Ninyi kenya ya kwenu ni norminal gdp. Haiendani na uhalisia wa maisha ya wananchi. Wananchi wana maisha duni kuliko pato la taifa linalooneshwa kwenye taarifa za kwenye makaratasi.
 
hahahaha sijawahi skia utajiri wa makaratasi...hio ndio naskia leo

Ndio zao wale huliwa kwa hayo makaratasi, ndio maana madini yamechumwa miaka yote hii na bado wao maskini wa kutupwa. Hakuna mzembe wa kusoma mikataba kama Mtanzania.
 

Ahaaa haaaa haaaa
povu lote la nini?
Umeandika andiko reeefu? Nilivyolisoma na kugundua unatokea Kenya nikachoka. Je ungekuwa labda unatokea Botswana, au Namibia au South Africa ingekuwejee??
Teh teh teh, sina mbavu.
 
Ndio zao wale huliwa kwa hayo makaratasi, ndio maana madini yamechumwa miaka yote hii na bado wao maskini wa kutupwa. Hakuna mzembe wa kusoma mikataba kama Mtanzania.
hahahaha
 
mpambane tu na uzembe bas....mtajiondoa kwenye listi ya nchi maskini duniani...uchumi utakua bila shaka
 
mpambane tu na uzembe bas....mtajiondoa kwenye listi ya nchi maskini duniani...uchumi utakua bila shaka

Ahaaa haaa haaa
Hakuna uzembe nyumbani, sisi tuna sera yetu ya ujamaa na kujitegemea tangu uhuru.
 
Ahaaa haaa haaa
Hakuna uzembe nyumbani, sisi tuna sera yetu ya ujamaa na kujitegemea tangu uhuru.
sasa hio system ya ujamaa ndio ilikuza uzembe baina yenu by the way...ubepari pamoja na disadvantages zake, atleast huwa inakuza uchumi...ndivyo nchi kama USA na UK zilivyoendelea...nchi iliobarikiwa kama tz sio nchi ya kuorodheshwa kwenye nchi LDC leo...
 
Kuwa na idadi kubwa pia ni manpower ya kutosha hivyo sidhani kama ni hoja ya msingi...kwanin nchi nyingine zenye idadi kubwa ya watu kuliko Tanzania hazimo kwenye list
 
hii thread kama imeshakufa,haiwezi ku-trend tena. wakenya walijipanga kuitumia vibaya.

ila baada ya sisi watz kusimama imara kwa kutoa hoja zenye ujazo, thread imekosa mvuto. asanteni sana watz.
good job. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mbona Kenya siioni hapo??
Kenya,Burundi,Somali,Rwanda,Gambia,.,Nchi kama Gambia uchumi wake unatengemea Utalii na karanga,hii inaonye mipango ndio inaifanya nchi iwe tajiri sio rasilimali za nchi
 


Ahaaa haaa haaa
Kwa hiyo China ni mabepari?
 
Ahaaa haaa haaa
Kwa hiyo China ni mabepari?
so unafananisha china na ldc country tzπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€fananisha china na western countries...western countries ambazo ni wapebari ....wana maendeleo zaidi au la?πŸ˜›πŸ˜›
 
so unafananisha china na ldc country tzπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€fananisha china na western countries...western countries ambazo ni wapebari ....wana maendeleo zaidi au la?πŸ˜›πŸ˜›

Ahaaa haaa haaa
Kasome kitabu cha Prof. Fernando De Soto, "How capitalism triumphs in West but failed every where".
You will get the answers of all of your questions.
 
Ahaaa haaa haaa
Kasome kitabu cha Prof. Fernando De Soto, "How capitalism triumphs in West but failed every where".
You will get the answers of all of your questions.
hahahaha capitalism thrives anywhere...capitalist nations rule the world today...socialist countries have started adopting capitalist trends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…