Kweli kabisa mkuu mfano Kenya inaonekana ni nchi yenye uchumi ulioimarika lakini watu wake hawawezi kumiliki ardhi isipokuwa wale matajiri ndio waliojilimbikia ardhi, Afrika kusini kuna sehemu watu wake wanaishi ktk umasikini uliokithiri vurugu kila siku na kuuana.Umasikini wa nchi hauna shida, shida ni umasikini wako ambao unaufeel moja kwa moja. Je kuna haja gani ya kuwa na nchi tajiri na watu wake kuwa masinikini? Kuna nchi zenye uchumi mzuri tu lakini Njaa yao, ufisadi wao, vita vyao. Ni bora kuwa masikini mwenye amani kuliko tajiri mwenye mashaka.
tafiti ambayo hata haina source ni kma mtu anajifunza jinsi ya kutumia powerpoint, akakopi akatuketea, kutuonyesha kuwa anaweza.Mi huwa sizikubali kabisa hizi tafiti wametumia kipimo gani hawa
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Sasa kinachokuchekesha ni nini?Teeeeeeeeeh Teeeeeeeeeeeh Teeeeeeeeeh tunanunua midege yetu kwa keeshiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Somalia,Zambia wanatuzidi!!!
Hata hivyo tunaonekana tutatoka kumi duni mapema sana,ni point chache sana zimebakia.Wachumi watatuongoza
Umasikini sio kukosa pesa. Ila ni kukosa ndoto za kutafuta pesa. Endelea kuomba bila kufanya kazi. Wengine tunasonga mbeleSisi ni matajiri sana Na tuko kwenye raiti traki,tunaenda kuwa donor country!!!
Ikibidi wanyang'anywe pasportutasemaje nchi maskini wakati huilishi Wala kubisha.Na Wala hakuna mtanzania aliyekufa kwa njaa? Matajiri wakubwa Mbona wapo akina mengi,bakheresa,Dewji nk.Maskini wenyewe Na mama zao
Hiyo Ripoti ya Bavicha iliyoandaliwa nje ya nchihakuna sudani kusini, somalia, burundi wala jamuhuri ya africa ya kati?? hiyo orodha yako ni ya kufikirika
Ha hahaha jamaa wanasafirisha ngamia kwenda dubai kama hawana akiliDuh hii umeitoa wapi?somalia watatupitaje .....mm skubali
Nko tayari kurusha ngumi aisee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukiwa kwenye msafara kama JF Kennedy wanakutungua tu bro!Haha...Si ajabu tunashuhudia tabia za hovyo na za kimaskini za mfumo mzima wa uongozi katika nchi hizi...imagine mbunge anapigwa risasi 38 mchana kweupe kwenye makazi ya viongozi yenye ulinzi wa 24/7 na hakuna uchunguzi unafanyika...GARBAGE IN GARBAGE OUT!