Kama huu ndio mtazamo wako juu ya umaskini nakushauri ujitoe jf kwani siyo jukwaa sahihi kwako! Hivi ccm inawaokotaga wapi?utasemaje nchi maskini wakati huilishi Wala kuivalisha.Na Wala hakuna mtanzania aliyekufa kwa njaa? Matajiri wakubwa Mbona wapo akina mengi,bakheresa,Dewji nk.Maskini wenyewe Na mama zao
Wewe huelewi vipimo vya umaskini wa nchi vya nchi za magharibi vinaangalia Pato la kifedha la mtu ,ni umaskini wa kipato cha pesa ambazo wao viwanda vyao ndio printers .Afrika vijijini tuna subsistance enonomy kwa asilimia kubwa.Mtu unakuta Ana shamba la chakula,ana,kuku,ana mayai Ana mbuzi,ana ngombe wa maziwa Ana migomba anakula vizuri kuliko mke wa Trump kwa kula mboga Na matunda fresh ya kuchumwa hapo hapo.Lakini sababu hauzi sokoni anahesabika kati ya maskini!!!! Sababu mulo wake hakuna wa kuupigia hesabu sokoni akaizungusha hela iliyochapishwa Na kiwanda cha mzungu.Waweke vigezo vya uwezo wa kujiari Tanzania tutawabwaga hadi wamarekkani sababu watu wetu asilimia 75 imejiajiri sekta ya kilimo Na ufugaji.Wakati Marekani population kubwa hata vijijini wameajiriwa vibarua mashambani Na kwenye mifugo.Kipimo cha kujiari kikiwekwa Africa itakuwa Dunia ya kwanza Na ulaya Na marekani watakuwa Dunia ya tatuKama huu ndio mtazamo wako juu ya umaskini nakushauri ujitoe jf kwani siyo jukwaa sahihi kwako! Hivi ccm inawaokotaga wapi?
HATARI SANA!!!!Haha...Si ajabu tunashuhudia tabia za hovyo na za kimaskini za mfumo mzima wa uongozi katika nchi hizi...imagine mbunge anapigwa risasi 38 mchana kweupe kwenye makazi ya viongozi yenye ulinzi wa 24/7 na hakuna uchunguzi unafanyika...GARBAGE IN GARBAGE OUT!
Acha kukariri , hao wote wametupita mjomba , husikii kwamba wakubwa wameamua kuchapisha hela mpya ili kujazia mashimo ?Rubbish.
Wapi Sudan Kusini
Somalia
Burundi
n.k
Ile ilipikwa Lumumba streetMbona hii imetofautiana na ya world bank waliyotoa mwezi wa tano, 28 poorest country TZ haikuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya August 30, 2018Hata Burundi wametuzidi? Data ya mwaka gani hii?
DAAAAH KUMBEE!!!!!!!Wewe huelewi vipimo vya umaskini wa nchi vya nchi za magharibi vinaangalia Pato la kifedha la mtu ,ni umaskini wa kipato cha pesa ambazo wao viwanda vyao ndio printers .Afrika vijijini tuna subsistance enonomy kwa asilimia kubwa.Mtu unakuta Ana shamba la chakula,ana,kuku,ana mayai Ana mbuzi,ana ngombe wa maziwa Ana migomba anakula vizuri kuliko mke wa Trump kwa kula mboga Na matunda fresh ya kuchumwa hapo hapo.Lakini sababu hauzi sokoni anahesabika kati ya maskini!!!! Sababu mulo wake hakuna wa kuupigia hesabu sokoni akaizungusha hela iliyochapishwa Na kiwanda cha mzungu.Waweke vigezo vya uwezo wa kujiari Tanzania tutawabwaga hadi wamarekkani sababu watu wetu asilimia 75 imejiajiri sekta ya kilimo Na ufugaji.Wakati Marekani population kubwa hata vijijini wameajiriwa vibarua mashambani Na kwenye mifugo.Kipimo cha kujiari kikiwekwa Africa itakuwa Dunia ya kwanza Na ulaya Na marekani watakuwa Dunia ya tatu
Wewe huelewi vipimo vya umaskini wa nchi vya nchi za magharibi vinaangalia Pato la kifedha la mtu ,ni umaskini wa kipato cha pesa ambazo wao viwanda vyao ndio printers .Afrika vijijini tuna subsistance enonomy kwa asilimia kubwa.Mtu unakuta Ana shamba la chakula,ana,kuku,ana mayai Ana mbuzi,ana ngombe wa maziwa Ana migomba anakula vizuri kuliko mke wa Trump kwa kula mboga Na matunda fresh ya kuchumwa hapo hapo.Lakini sababu hauzi sokoni anahesabika kati ya maskini!!!! Sababu mulo wake hakuna wa kuupigia hesabu sokoni akaizungusha hela iliyochapishwa Na kiwanda cha mzungu.Waweke vigezo vya uwezo wa kujiari Tanzania tutawabwaga hadi wamarekkani sababu watu wetu asilimia 75 imejiajiri sekta ya kilimo Na ufugaji.Wakati Marekani population kubwa hata vijijini wameajiriwa vibarua mashambani Na kwenye mifugo.Kipimo cha kujiari kikiwekwa Africa itakuwa Dunia ya kwanza Na ulaya Na marekani watakuwa Dunia ya tatu
Cdm haoDuh hii umeitoa wapi?somalia watatupitaje .....mm skubali
Nko tayari kurusha ngumi aisee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata Somalia imetupita,hushangai hapo.
Ndiyo tushaporomoka sasa hadi tunataka kuchapisha noti mpyaUngeweka na chanzo cha hbr. 2015 kulingana na IMF tulikua kumi bora ya nchi zenye uchumi mzuri Africa. Haiwezekani tukaporomoka haraka hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wa mwishoHapo CDM hawahusiki,ni serikali ya CCM since uhuru hadi sasa tunapigania maisha kwenye last ten!AJABU
Uchumi wa kati 2025 tutaufikia kweli?Au kati kwao ina maana nyingine?
Wewe kweli umasikini ni jadi yakoUmasikini wa nchi hauna shida, shida ni umasikini wako ambao unaufeel moja kwa moja. Je kuna haja gani ya kuwa na nchi tajiri na watu wake kuwa masinikini? Kuna nchi zenye uchumi mzuri tu lakini Njaa yao, ufisadi wao, vita vyao. Ni bora kuwa masikini mwenye amani kuliko tajiri mwenye mashaka.
Wewe ni bwege yaani jambo la kisomi unaingiza upupu?utasemaje nchi maskini wakati huilishi Wala kuivalisha.Na Wala hakuna mtanzania aliyekufa kwa njaa? Matajiri wakubwa Mbona wapo akina mengi,bakheresa,Dewji nk.Maskini wenyewe Na mama zao