Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

Ndio uone uongo mtupu huu.
Nimestuka hata mimi! Yaani south sudan, somalia wametuzidi?! Hapana. Nchi kama Madagascar almanusura ifutwe ulimwenguni baada kuporomoka kiuchumi na ghasia ya akina Ravaro Manana nao pia wapo mbali kiuchumi?
 
Mh kama unamsema jirani yetu mzee wa KQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani huwa wanauwawa mchana kweupe pamoja na kuwa na technolojia ya hali ya juu bado huwa hawawapati watuhumiwa!! Think out of the box mkuu!!
 
Huu uongo bana ,
Somalia wanatupitaje ,
Burundi je ??
Rwanda sawa ..!!
Kenya sawa ..!!
Malawi ??
 
Hali mitaani inajieleza wala haitaji takwimu kujua kwamba hali ya uchumi ni tete
 
report imetolewa na taasisi inayojulikana kwa jina la focus africa yenye ofisi zake Barcelona, Spain.


ukichunguza sana utagundua taarifa ya focus africa inakinzana na taarifa ya IMF iliyotolewa mwezi june, 2018 ambapo tanzania haimo katika orodha ya 28 masikini zaidi duniani,achilia mbali hizo 10 za focus africa. yaani hata uitafute kwa kurunzi au darubini, bado tanzania huwezi kuiona.

ifahamike tu kwamba IMF au WB ndio taasisi za kuaminika zaidu katika kutoa report inayohusu nchi zenye masikini mkubwa duniani.

kwa anayetaka kujiridhisha zaidi afungue link hii : https://nordic.businessinsider.com/poorest-countries-in-the-world-2018-5/
 

Attachments

  • IMG_20180902_182655.jpg
    69.4 KB · Views: 51
  • IMG_20180902_183632.jpg
    64.4 KB · Views: 50
  • IMG_20180902_182756.jpg
    39.6 KB · Views: 48
  • Screenshot_2018-09-02-18-38-57-025_com_1535902762891.opera.browser.jpg
    56.4 KB · Views: 46
  • Screenshot_2018-09-02-18-38-57-025_com_1535902762891.opera.browser.jpg
    56.4 KB · Views: 52
  • IMG_20180902_183632.jpg
    64.4 KB · Views: 44
  • IMG_20180902_182756.jpg
    39.6 KB · Views: 40
  • IMG_20180902_182810.jpg
    40.2 KB · Views: 50
and our prezidaa goes to and fro uganda to seek political and economic advice from museveni 'himu serufu' unatarajia nn hapo?
Hahahaaa pale unapopata mksi 40/100 darasani na wewekuwa wakwanza, darasa linakuona wewe ni kichwa! Hahahaaa akili hizi za watz na rais wao.
 
Fikra za kimaskini hizi, ww kweli unazidi kunifanya niamini hii ripoti iko sawa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…