Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics

1. Algeria 🇩🇿 - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini 🇿🇦 - tani 125 za metric
3. Libya 🇱🇾 - tani za metric 117
4. Misri 🇪🇬 - tani 80.73 za metric
5. Moroko 🇲🇦 - tani za metric 22.12
6. Nigeria 🇳🇬 - tani 21.37 za metric
7. Mauritius 🇲🇺 - tani 12.44 za metric
8. Ghana 🇬🇭 - tani 8.74 za metric
9. Tunisia 🇹🇳 - tani 6.84 za metric
10. Msumbiji 🇲🇿 - tani 3.94 za metric

View attachment 2259063
Sisi hatuwekagi akiba? mbona tuliambiwa sisi ni matajiri tutembee kifua wazi.
 
Tanzania ya wanyonge haimo? Licha ya masoko kila kona
tujenge Ukuta mrefu afu juu tuweke nyanya za umeme kuzunguka maeneo yote ya migodi yetu ya dhahabu - afu ilindwe na JWTZ - tuone sasa kama hatuongozi duniani.
 
Mimi nataka kuuliza kuelewa kinachofanya dhahabu inakua na thamani kiasi hiki Ni Nini?? Matumizi yake Ni hizi cheni na Pete tunazoona ndio kazi yake au Kuna matumizi mengine nisiyoyaelewa
 
tujenge Ukuta mrefu afu juu tuweke nyanya za umeme kuzunguka maeneo yote ya migodi yetu ya dhahabu - afu ilindwe na JWTZ - tuone sasa kama hatuongozi duniani.
Ndicho alichofanya Mwamba JPM pale A town kwenye madini ya Tanzanite, manyang'au yakaona yanazibiwa riziki, ni heri yampoteze tu mazima.
 
Tanzania ya wanyonge haimo? Licha ya masoko kila kona
Tanzania hatuna mali nyingi kama ambavyo huwa mnadanganyana kwenye vijiwe..

Unakuta mnakomaa na kulaumu serikali as if nyie pekee ndio mnazo hapa Duniani kumbe ni kiduchu mnoo..

Madini ambayo tunayo kama yetu tumeshindwa kuyachimba kama helium.
 
Mimi nataka kuuliza kuelewa kinachofanya dhahabu inakua na thamani kiasi hiki Ni Nini?? Matumizi yake Ni hizi cheni na Pete tunazoona ndio kazi yake au Kuna matumizi mengine nisiyoyaelewa
Inatumika kutunza thamani ya pesa, yaani ni kama mbadala wa Fedha.
 
[emoji1][emoji1] Juzi nimesikia msemaji wa Jeshi la Congo akisema jeshi lao Ni la 8 kwa nguvu Africa [emoji1][emoji1][emoji1].Hata Gold watakua wanazo ila hawapendi kujionyesha tu Kama Ali Kiba.
[emoji23][emoji23][emoji23],Hapo kwa upande wa jeshi wameongopa, hawawezi kuwa wa 8.
 
Back
Top Bottom