Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

Ahsante kwa taarifa... na hizo dhahabu zote zinatoka Tanzania...
 
Ondoa Libya haina akiba kwa sasa kuna sehemu ilienda 2011
 
Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini....Tanzania hoye
 
Yaliacha kutoroshwa? Pale bandari aliweka wanajeshi,Rushwa ilikoma?
.
JamiiForums-2066617636.jpg
 
Mimi nataka kuuliza kuelewa kinachofanya dhahabu inakua na thamani kiasi hiki Ni Nini?? Matumizi yake Ni hizi cheni na Pete tunazoona ndio kazi yake au Kuna matumizi mengine nisiyoyaelewa
Itakua dhahabu ndio chakula cha mashetani yanayotengeneza pesa na kuziendesha sio bure
 
DUNIANI

Largest gold reserves (in metric tons)

🇺🇸USA: 8,133
🇩🇪GER: 3,367
🇮🇹ITA: 2,451
🇫🇷FRA: 2,436
🇷🇺RUS: 2,207
🇨🇳CHN: 1,916
🇨🇭SUI: 1,040
🇯🇵JPN: 765
🇮🇳IND: 618
🇳🇱NED: 612
🇹🇷TUR: 506
🇹🇼TPE: 423
🇵🇹POR: 382
🇰🇿KAZ: 375
🇸🇦KSA: 323
🇬🇧GBR: 310
🇪🇸ESP: 281
🇦🇹AUT: 279
🇱🇧LIB: 268
 
DUNIANI

Largest gold reserves (in metric tons)

[emoji631]USA: 8,133
[emoji629]GER: 3,367
[emoji634]ITA: 2,451
[emoji632]FRA: 2,436
[emoji635]RUS: 2,207
[emoji630]CHN: 1,916
[emoji1237]SUI: 1,040
[emoji627]JPN: 765
[emoji1128]IND: 618
[emoji1179]NED: 612
[emoji1250]TUR: 506
[emoji1239]TPE: 423
[emoji1201]POR: 382
[emoji1138]KAZ: 375
[emoji1210]KSA: 323
[emoji636]GBR: 310
[emoji633]ESP: 281
[emoji1038]AUT: 279
[emoji1146]LIB: 268

Russia anaongoza duniani kuwa na Reserve kubwa ya dhahabu ni vile hajaamua kuchimba tu. Hao US, France etc wanatapeli Africa
 
Hayati Magufuli aliona hilo wazo la kuweka Akiba ya Dhahabu BoT na akaanza kuweka Sasa cjui bado tunaweka au vp....Dah marehemu aliona mbali san cpati picha km angefanikiwa kumaliza angalau miaka 5
 
DUNIANI

Largest gold reserves (in metric tons)

[emoji631]USA: 8,133
[emoji629]GER: 3,367
[emoji634]ITA: 2,451
[emoji632]FRA: 2,436
[emoji635]RUS: 2,207
[emoji630]CHN: 1,916
[emoji1237]SUI: 1,040
[emoji627]JPN: 765
[emoji1128]IND: 618
[emoji1179]NED: 612
[emoji1250]TUR: 506
[emoji1239]TPE: 423
[emoji1201]POR: 382
[emoji1138]KAZ: 375
[emoji1210]KSA: 323
[emoji636]GBR: 310
[emoji633]ESP: 281
[emoji1038]AUT: 279
[emoji1146]LIB: 268
Tanzania?
 
Back
Top Bottom