Mtoa mada alimaanisha akiba zilizopo kwenye reserves sio ardhini yanayochimbwaKama kongo haimo!!Basi rekodi yako ni uongo!! kongo ndo nchi pekee tajiri duniani kuliko nchi yeyote kwa madini ya dhahabu na madini mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiweka akiba, ukikorofishana na US wanaitaifisha. Kila siku inabidi uwe mtumwa wao tu.Maskini haweki akiba.
Wanayo bali si nyingi kama almas mkuuKwa hiyo hawana dhahabu?
KabisaaaaTanzania and Congo DRC zinatia huruma.
.Yaliacha kutoroshwa? Pale bandari aliweka wanajeshi,Rushwa ilikoma?
🤣🤣Tanzania ya wanyonge haimo? Licha ya masoko kila kona
Itakua dhahabu ndio chakula cha mashetani yanayotengeneza pesa na kuziendesha sio bureMimi nataka kuuliza kuelewa kinachofanya dhahabu inakua na thamani kiasi hiki Ni Nini?? Matumizi yake Ni hizi cheni na Pete tunazoona ndio kazi yake au Kuna matumizi mengine nisiyoyaelewa
Inayozungumziwa no dhahabu iliyohifadhiwa na benki kuu za nchi husika, ndio maana unaona Libya ipo wakati Haina mgodi hata mmoja wa dhahabu.Tanzania gold reserves is around 2.2 metric tonnes
DUNIANI
Largest gold reserves (in metric tons)
[emoji631]USA: 8,133
[emoji629]GER: 3,367
[emoji634]ITA: 2,451
[emoji632]FRA: 2,436
[emoji635]RUS: 2,207
[emoji630]CHN: 1,916
[emoji1237]SUI: 1,040
[emoji627]JPN: 765
[emoji1128]IND: 618
[emoji1179]NED: 612
[emoji1250]TUR: 506
[emoji1239]TPE: 423
[emoji1201]POR: 382
[emoji1138]KAZ: 375
[emoji1210]KSA: 323
[emoji636]GBR: 310
[emoji633]ESP: 281
[emoji1038]AUT: 279
[emoji1146]LIB: 268
Reserve ya nini kwa sisi wakati bado tunayo ya kutosha ardhini?! 🤣Tanzania shamba la Bibi hakuna gold reserve 🤣🤣🤣
Tanzania?DUNIANI
Largest gold reserves (in metric tons)
[emoji631]USA: 8,133
[emoji629]GER: 3,367
[emoji634]ITA: 2,451
[emoji632]FRA: 2,436
[emoji635]RUS: 2,207
[emoji630]CHN: 1,916
[emoji1237]SUI: 1,040
[emoji627]JPN: 765
[emoji1128]IND: 618
[emoji1179]NED: 612
[emoji1250]TUR: 506
[emoji1239]TPE: 423
[emoji1201]POR: 382
[emoji1138]KAZ: 375
[emoji1210]KSA: 323
[emoji636]GBR: 310
[emoji633]ESP: 281
[emoji1038]AUT: 279
[emoji1146]LIB: 268