Reserve inayotajwa hapa ni ile ilihifadhiwa yan pure gold sio ilio aridhini ambayo hata congo ipoRussia anaongoza duniani kuwa na Reserve kubwa ya dhahabu ni vile hajaamua kuchimba tu. Hao US, France etc wanatapeli Africa
Tia maji siasa nyingiTanzania?
Hujui chochote wewe ni wa kwenye vijiwe vya kahawa.Kama kongo haimo!!Basi rekodi yako ni uongo!! kongo ndo nchi pekee tajiri duniani kuliko nchi yeyote kwa madini ya dhahabu na madini mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatapeli kivipi?Russia anaongoza duniani kuwa na Reserve kubwa ya dhahabu ni vile hajaamua kuchimba tu. Hao US, France etc wanatapeli Africa
Tanzania na Congo visiwa vya amani hatumo?Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics
1. Algeria π©πΏ - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini πΏπ¦ - tani 125 za metric
3. Libya π±πΎ - tani za metric 117
4. Misri πͺπ¬ - tani 80.73 za metric
5. Moroko π²π¦ - tani za metric 22.12
6. Nigeria π³π¬ - tani 21.37 za metric
7. Mauritius π²πΊ - tani 12.44 za metric
8. Ghana π¬π - tani 8.74 za metric
9. Tunisia πΉπ³ - tani 6.84 za metric
10. Msumbiji π²πΏ - tani 3.94 za metric
View attachment 2259063
Umeambuwa akiba sio uchimbajiKama kongo haimo!!Basi rekodi yako ni uongo!! kongo ndo nchi pekee tajiri duniani kuliko nchi yeyote kwa madini ya dhahabu na madini mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheee[emoji1][emoji1] Juzi nimesikia msemaji wa Jeshi la Congo akisema jeshi lao Ni la 8 kwa nguvu Africa [emoji1][emoji1][emoji1].Hata Gold watakua wanazo ila hawapendi kujionyesha tu Kama Ali Kiba.
ππππ πππWahuni Siyo Watu WazuriTanzania ya wanyonge haimo? Licha ya masoko kila kona
KabisaTanzania and Congo DRC zinatia huruma.