figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Gentleman,Nafasi ya amani Afrika
View attachment 3618823
Chanzo cha picha,ABI
Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindajr amani ambayo haipo?
Wanalinda Ulaji wao. Wanajua watu wakiwa wanahoji watawanyang'anya tonge mdomoni.
Tanzania haipo kwenye Nchi kumi zenye amani Afrika.
Je, Samia na Mwigulu wanalinda kwa wivu mkubwa amani gani?
Usishangae list ikiendelea 11 utaikuta Congo DR ipo hapo inapasha misuliKila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindajr amani ambayo haipo?
Haipo ndio kwa sababu haipo na hizo Nchi zilizo kwenye list ni Nchi fulani hivi km hazijulikani fulani hivi yaan zimejichimbia km Waadzabe mpaka wakasanuliwe wakawekwe kwenye maonyeshoTanzania haipo kwenye Nchi kumi zenye amani Afrika.
Inazidiwa hadi na Malawi🤣🤣Inaweza hata kishika mkia .
@tanzania
Nafasi ya amani Afrika
View attachment 3618823
Chanzo cha picha,ABI
Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi na Zambia
MY TAKE
Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindaje amani ambayo haipo?
Wanalinda Ulaji wao. Wanajua watu wakiwa wanahoji watawanyang'anya tonge mdomoni. Wamekula wakavimbiwa hela za walipa kodi hadi wanatamani watu wahamie Burundi kisa wanaohoji matumizi ya kodi zao.
Tanzania haipo kwenye Nchi kumi zenye amani Afrika.
Je, Samia na Mwigulu wanalinda kwa wivu mkubwa amani gani?
Kwa ufupi mumetuharibia amani ya Nchi kwa Utekaji, kuua watu wasio na hatia na kupoteza watu.
Hii ni aibu kwa Samia Suluhu na genge lake linalodai Tanzania kisiwa cha amani. Sasa ni kisiwa cha damu za watu
Kwamba Botswana, Morroco, Senegal, Ghana ni nchi hazijulikani? Unafananisha Morroco na Tanzania? Moja ya nchi tajiri Africa?Haipo ndio kwa sababu haipo na hizo Nchi zilizo kwenye list ni Nchi fulani hivi km hazijulikani fulani hivi yaan zimejichimbia km Waadzabe mpaka wakasanuliwe wakawekwe kwenye maonyesho
It wasn't real peace though!Once kilikuwa kisiwa cha amani, now the country is in shambles na hakuna kiongozi, its mess hakyanani.
Mwenye bandiko ametoa marejeo ya taarifa yake,wewe unajibu kwa "huenda"Gentleman,
kwamba kuna majamaa fulani kadhaa yameketi mahali, na huenda yanakunywa wine, na halafu yanawapangia wengine masuala ya amani yao, right?🤣
upotoshaji mwingine ni wa kindezi mno aise 🐒
Ametumwa Ametumwa aseme Ghana haijulikani. CCM wamejikita zaidi kwenye siasa za ulaghaiKwamba Botswana, Morroco, Senegal, Ghana ni nchi hazijulikani? Unafananisha Morroco na Tanzania? Moja ya nchi tajiri Africa?
Kweli common sense is not common to all...
Utakufa vibaya sanaGentleman,
kwamba kuna majamaa fulani kadhaa yameketi mahali, na huenda yanakunywa wine, na halafu yanawapangia wengine masuala ya amani yao, right?🤣
upotoshaji mwingine ni wa kindezi mno aise 🐒
kwangu,Utakufa vibaya sana
Sawa boss mda si mrefu tutaimba pamojakwangu,
kuishi ni Kristo na kufa ni faida zaidi gentleman