Nchi ambayo Wafanyabishara wanaweza kugharamia safari za Rais za Kitaifa na Kimataifa haiwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

wafanyabishara wanagharamia safari za mkuu wa nchi nje ya nchi na ndani ya nchi maana yake tayari rais ameshakuwa compromised


Nyerere akiwakaribisha mabepari wa City of London waje Tanzania


PRESIDENT NYERERE IN BRITAIN - COLOUR - SOUND

21 July 2015
5.1K
Likes
1,089,442 Views

(31 Dec 1975) Pull back from Tanzanian Coat of Arms to platform of Victoria Station as train pulls in. MS The Queen & Duke of Edinburgh. President Nyerere from train shakes hands with Queen and Duke, then Prince Charles and Princess Anne, the Duchess of Gloucester, the Duchess of Kent. Queen and President out of Station. MCU of them as they listen to Anthems. President inspects Guard of Honour of Scots Guards. Roy Jenkins, Duchess and Duke of Kent. Duchess of Gloucester. Shots of carriage drive to Buckingham Palace. Royal Standard on Palace. Portico Household Cavalry. Queen, Duke and President enter Palace. Evening Queen and President walk to Banguet followed by Duke. Princess Anne Duke of Gloucester. Princess Alexandra with Earl Mountbatten. Oxford - President's car arrives. President in Procession with Academics and enters Sheldonian Theatre President making Speech about South Africa etc. Commonwealth Foresty Institue in Oxford. President signs visitors Book and tours Institue. President visits Oxfam. GV 10 Downing Street. President with Harold Wilson. Mary Wilson and James Callaghan. State trumpeters at the Guildhall. Duchess of Kent next to President and Duke of Kent next to Lord Mayor. President makes speech. GV St James Palace. President meeting High Commissioners of the Commonwealth GV Ext Claridges Hotel. President welcoming members of the British Tanzanian Society.
 
Tumaini lililo baki ni kwa venance mabeyo tu, baba tuokoe
Haya maombi yako kwa Kamanda Mabeyo,Yashindwe na yasifanikiwe kwa Jina la YESU.Haya Mambo, usiombe utawala wa Ki-Jeshi ukaingia nchini mwako.una madhara makubwa ! Utawala wa Ki-Jeshi omba Mungu uone TU kwenye TV kwenye nchi za wenzetu. Usikumbane nao "Live" Katika nchi yako.
 
Kuna chama fulani kilikuwa kinadai Katiba Mpya, kiongozi wao amepenyezewa bahasha ya khaki mchezo ukaisha.
mmejazana wanaccm wenyewe kwenye nafasi zote za uongozi halafu lawama mnawatupia chadema wasio hata na mwenyekiti wa kijiji
 
Ni jambo la kusikitisha na kushangaza sana, yaani leo hii Ziara za Rais zinagharamiwa na Wafanyabiashara? Ina maana Serikali haina bajeti kwa ajili ya safari zake mpaka wategemee kufadhiriwa na hao Wafanyabiashara.

Hivi vitu vingine vya aibu ifike sehemu wawe wanafanya siri, yaani baada ya kuona Wananchi wanalalamika kuhusu matumizi ya fedha katika safari zao, ameona huu ndiyo utetezi, huyu aliyegharamia safari zako siku akiomba favor kutoka Serikalini wana uwezo wa kumkatalia? Wakati mwingine viongozi wetu wanatakiwa wawe serious kwenye mambo yanayohusu msitakabari wa Nchi.
 
Ninasikia siyo kugharamia safari tu; wanamsaidia kisiasa pia
Ulitaka asaidiwe na Wamachinga Samia anawasikiliza walipakodi wakubwa waliofanikiwa kimaisha sio wewe kapuku ambaye maisha yako yenyewe yanakushinda unaeamini kuwa bila uchawi hutajiriki.
 
Bora familia hizo wana utu hata kama ni wezi. Kuna wale wa upande mwingine walitufikisha kubaya sana kama taifa na haya yanayotokea leo ni matokeo tu
Huenda wana utu kwako, umesema hata kama Wezi, sidhani kama kuna Mwizi ana utu.
 
Ccm wameanza kulia lia. Mambo yakienda kombo wanataka tuwasaidie kulia. Yakiwa mazuri wanadai nchi ni yao na wazalendo ni wao[emoji1787][emoji1787]
Walifanya bunge la Chama kimoja wakiwa na malengo ya kumpitisha Mwenyekitwao kuwa Rais wa maisha, Mungu akaingilia Kati kutunusuru. Leo ni wao tu kijani wameanza kushikana mashati, nchi hii itapona hi iki chama kikitupwa jalalani.
 
Kapuku kwa sasa ni sawa na Yatima Hadeki
Acha waendelee kupuuza malalamiko ya Wananchi, hakuna Mwananchi anayelalamika kwa kuigiza, lazima wajue lipo jambo linalotatiza, Wananchi si Wajinga kama wanavyofikiri wao.

Leo hii Panya road tu wanawatoa jasho, vipi kama Wananchi wote wakikengeuka? Siombei hili lakini ifike sehemu Viongozi wasipuuze malalamiko ya Wananchi, kama wameshindwa kulia pamoja basi hata waigize tu.
 
Duu! Nimecheka kwa sauti😂😂! Ndugu yangu Wananchi wakifikia hatua ya kukata tamaa huwa tayari kwa lolote.
 
Una Point muhimu kabisa ndugu.
 
Sasa wewe ndugu hata ukiwambiwa hao waliogharamia utawafanya nini? Mambo menginr muyaache kama yalivyo.
Matajiri ndio Moyo wa taifa
Wanaume tukiwa tunajadili mada uwe unakaa pembeni kwanza. Tumalize kujadili tukupige miti.
 
Nadhani una shida ya kuelewa. Naelewa shida sio wewe, ni eidha shule ndogo ama shule uliyopitia.

Nani kazungumzia uchumi mzuri wakati wa Nyerere?

Wewe unaona ni sahihi mkuu wa nchi kugharamiwa shughuli zake eidha binafsi ama za kiserikali na kikundi cha watu flani?
 
Madhara makubwa kama yapi?
 
Sasa kama wana hela ya kumfadhili unataka aziache? Wakati anagombea nafasi aliyopo ulimsaidia kupiga kampeni?
 
Unaendelea kupotosha mkuu wa nchi haja gharamiwa shughuli zake! Hii ni Royal Tour sio shughuli zake…na amekuwa wazi. Wewe unajua pesa za miradi yote ya Magufuli ilitoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…