allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,233
- 10,563
Mkuu basi wewe zambia ujakaa wewe mkuu wenzio mpaka jela za zambia tumewai kuona joto lake.Acha kuniuliza maswali ya kizuzu mkuu, mimi ninaishi hapa Kalomo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu basi wewe zambia ujakaa wewe mkuu wenzio mpaka jela za zambia tumewai kuona joto lake.Acha kuniuliza maswali ya kizuzu mkuu, mimi ninaishi hapa Kalomo
Duh mpaka unajua idadi ya nyuzi?
Wewe ni mhalifuNitaacha kujua, hii inaonyesha ni jinsi gani polisi ni wajinga, ndio maana matumizi ya nguvu ni makubwa kuliko akili. Kama kweli mnaweza kudeal na majambazi na sio uonevu, kuna mtu hapa Dar alijiunganishia bomba la mafuta na akakamatwa, mbona hamkumuua?
Wewe ni mhalifu
Mimi nimekaa 2yrs pale kamwalaMkuu basi wewe zambia ujakaa wewe mkuu wenzio mpaka jela za zambia tumewai kuona joto lake.
Hizo nchi zimeanza zamani sana na zinazidi kuboresha!Chinsali kuna check point ya jeshi la Zambia hapo ukifika na ukichoka unaweka pit stop bila wasiwasi wowote, hivyo hivyo kwa sesheke njia panda (jeshi )Polisi yupi atakubali upark nje ya kituo chake? Wa tz? Ili umchinje kama mkuranga?
Hata hapa zamani walikuwa friendly kidogo, tangu vituo vianze kuvamiwa ukienda usiku unahojiwa kwanza tokea mbali kabla huhaingia kituoni
Hizo nchi ulizotaja subiri waanze kukabiliwa na mashambulizi kama utawasifia tena
Mkuu mfano ulioutolea hapa ni pure police state ndivyo wanavyofanya,je nchi yetu ni police state?,President Samia ametoa amri kuwa peleleza kwanza then do arrest not other way round, elewa ni wajibu wa police to links na crime scene kabla ya kukamatwa, why mzee wa watu walimkamata bila links na crime?ndio maana nchi inahitaji katiba mpya maana itaondoa dhuluma hizi, mazuzu wa middle class wao wanaona Sawa.Ngoja nikupe kisanga kimoja...
Miaka ya 2000 kule Bariadi kulikuwa na ujambazi wa hali ya juu.. Sasa akikamatwa Jambazi ilikuwa kifo..
Kuna mzee mmoja alitembelewa na mtoto wa dada yake.. Akakaa kwake kama mwezi mmoja..
Huyo mgeni ni mpole.. Katulia hapo Bariadi kumbe ni jambazi hatari sana... Yaani anatafutwa Sirari.. Mpaka anavuka mpaka anaenda Kenya..
Baada ya mwezi mtoto wa Dada kaondoka na kuaga vizuri.. Kamnunulia mzee mbuzi wa nne wa kufuga... Zawadi za hapa na pale..
Kesho yake tuu Polisi hawa hapa.. kwa mzee.. Mzee anaulizwa mgeni wako yuko wapi..?
Mzee wa watu kapokea kipigo.. Akasafirishwa Lamadi.. Baadae mpaka Msoma... Mzee hajui chochote kile...
Yule Mzee alipata mateso kama miezi 8 ndipo wakajua hausiki na hajui mtoto wa dada kama ni jambazi na hajui alielekea wapi..
Karudi Bariadi anachechemea...aliumia akiwa ndani ili aweze kutoa ushirikiano kama anajua chochote... Akawa amepata kidonda mguuni hakiponi... Nk nk.. Baadae akajikuta kapata pressure na mambo mengi nk..
Baada ya miaka kama mitano akaondoka Duniani na msongo mkubwa wa mawazo...
Nauliza je Polisi waendelee kufanya operations namna hii bila weledi...?
Ndio maana tunataka majambazi washughulikie lakini akili itumike bila hivyo... Watachanganywa humo wasio husika
Jeshi kazi yao hasa ni kuuaHakuna lolote,, kwani usalama unashikwa na polisi???Polisi wanaweza kuondolewa jeshi likaendelea na kazi.
Kwa hiyo?unajua kukutwa na hatia mahakamani si lazima uwe umetenda kosa,na kukoswa na hatia mahakamani si kwamba ni kweli hukufanya kosa!!!!
wapo wahalifu akifika mahakamani hafungwi,hata ungealika ushahidi gani.
Huku hawachukui hatua?Hatua kali dhidi ya polisi yule zilichukuliwa. Ama hukuona?
Kumbe shida sio kuua, ila wauawe wote woteNitaacha kujua, hii inaonyesha ni jinsi gani polisi ni wajinga, ndio maana matumizi ya nguvu ni makubwa kuliko akili. Kama kweli mnaweza kudeal na majambazi na sio uonevu, kuna mtu hapa Dar alijiunganishia bomba la mafuta na akakamatwa, mbona hamkumuua?
Wewe ni panya road hawajakukamata tu na kukupa ya kichwa!!?Sana, maana usipomsifu rais automatically ww ni muhalifu.
Niambie ni hatua gani zimechukuliwa kwa hawa polisi waliomvua binti nguo ili afanye mapenzi na mzazi wake?Huku hawachukui hatua?
Kumbe shida sio kuua, ila wauawe wote wote