Dah...nimefika Syria na Jordan.
..kidogo wabebez wagumu kwa weusi[emoji41]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.Mbwembwe tu jamvini JF mkuu...mwenye hela hapayuki[emoji28]
Leo nimejaribu hii lugha ya wenyewe, ili nione kama naweza ng'oa mtoto mkali humu jamvini....[emoji85] [emoji85][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya nani, wewe bwana...LOL
Kama ulivyoandika "Afrighanstan" badala ya AfghanistanNdiyo wasomi tulionao mkuu!
Hiyo siyo Lugha yetu ila yeye amechemka Lugha yetu!Kama ulivyoandika "Afrighanstan" badala ya Afghanistan
Leo nimejaribu hii lugha ya wenyewe, ili nione kama naweza ng'oa mtoto mkali humu jamvini....[emoji85] [emoji85]
Mungu ananiona haki....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapana comrade, tatizo huku Ushirombo hakuna shule zilizo fundisha hii lugha ya bepari...[emoji30][emoji30][emoji30]Haha, wewe naona unatutania tu humu...lol
Nahisi ndo mwenyewe kabisa! [emoji16]
Hapana comrade, tatizo huku Ushirombo hakuna shule zilizo fundisha hii lugha ya bepari...[emoji30][emoji30][emoji30]