Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki ya nani, wewe bwana...LOL
Leo nimejaribu hii lugha ya wenyewe, ili nione kama naweza ng'oa mtoto mkali humu jamvini....[emoji85] [emoji85]
Mungu ananiona haki....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hii ilikuwa siri yangu wewe umevujisha basi tena imekufa.
 
Leo nimejaribu hii lugha ya wenyewe, ili nione kama naweza ng'oa mtoto mkali humu jamvini....[emoji85] [emoji85]
Mungu ananiona haki....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Haha, wewe naona unatutania tu humu...lol
Nahisi ndo mwenyewe kabisa! 😁
 
Back
Top Bottom