Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

Laha ni kitu gan?
 
Ikiwa uandishi wenyewe ndo huu. Mwangalie sana huyo boss wako. Atakuwa na lake jambo.usiamini amini watu... Maana unavyoandika tu unaonesha hata kazi uliipata kwa namna. Maneno haya. LAHA,CHANGUA,UTANAKA, huyo boss ashakugundua na anataka atumie hiyo nafasi kukunanii...


 
Halafu mtu huyu huyu kesho atakuja kulalamika kuwa anakaa kwa shemeji anamshika makalio dada yake makusud huku yeye anaona
 
Inategemea unapendelea nini labda ungesema vitu unaenjoy zaidi otherwise taste yangu nintofauti na yako.ila binafsi nataka nikaenjoy mbuga za wanyama .mwenye website ninqkoweza pata details za gharama kwa mtanzania tafadhari
 
Unaenda nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…