Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laha ni kitu gan?Nawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante
Boss ana ajenda ya siri akirud bongo atakua anavaa diapers "pampaz"Alafu akikaa week akirudi TZ abaki kukuna pumbu?
Nawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante
Mwambie aende zake Rwanda au somalia akiona taabu basi aende kijijini kwao akapumzike na wazee wakeInategemea raha yako ni kitu gani .tifafanulie hili upate ushauri
Ibiza... Miami au Paris[emoji120][emoji120][emoji120]
Unaenda nae?Nawatakia wiki end njema membaz wote jf.
Ifikapo December 2018 napata likizo kubwa.na boss wangu kaniambia changua utanaka kwenda ukapumzike nchi gani.kiukweli nimekosa jibu la haraka nikamuomba anipe mda nifikiri wapi patanifaa. Kupitia wakuu wa humu ndani naimani nitapata sehemu sahihi ya kwenda kula laha.
Asante
Ukweli ni kwamba Tanzania humu humu kuna tourist na adventurous attractions kibao.Nenda Tanzania