Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Hizo nchi zinasheria kali Sana ya kushughulikia wahalifu au maadui Zao.Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini
hatari kwa watetezi wa uhai hujasoma vizuriHizo nchi zinasheria kali Sana ya kushughulikia wahalifu au maadui Zao.
Ila sio hatari kwa binadamu kuishi.
Unataka wafanywajeHasa kwenye USHOGA hapo, naona adhabu ya kunyongwa ni ndogo vile..
Unawatundika kwenye mti, kisha anakuwa anakatwa kiungo kimoja kimoja kila siku.. Mpaka anakufa.Unataka wafanywaje
Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Si hatari maana waharifu wanajua watakipata cha mtema kuni.Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini
kama kunyongwa kwa watu buku kila mwaka ndiyo umesababisha uhalifu na ufisadi wa kutisha kupungua na kuifanya china kuimarika kimaendeleo ( elimu afya huduma za kijamii bora miundombwinyu safi π ) basi sisi tz hatuna budi kufata mfano huo.Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini
Mkuu punhuza hasira ! maneno mengi uliyotype hayasomekikama kunyongwa kwa watu buku kila mwaka ndo umesababisha uhaligu na ufisadi wa kutisha kupungua na kuiganya vhina kuimarika kimaendeleo na huduma za jamii basi...
Equador au el salvadorSi hatari maana waharifu wanajua watakipata cha mtema kuni.
Sasa nchi hizo ambazo wewe waona salama, chukulia mexico, us watu wanauana wenyewe. Mwanafunzi anaweza chukua bunduki akaanza rusha risasi kwa wanafunzi wenzake. Na ni matukio ya kila mara...
umekua uzi wa kidiniHUYU NI ULINZI TOSHA HAUTAOGOPA HOFU USIKU WALA MCHANAView attachment 2958831
ha ha haHuku Afrika watu wanajinyonga wenyewe kwa maswahibu ya kimaisha...
kwaiyo waendelee kunyongaWako serious kbsa
Kwanini mkuu chuki yako kubwa sana kuliko ka waida? wamekufanyahe hao watuUnawatundika kwenye mti, kisha anakuwa anakatwa kiungo kimoja kimoja kila siku.. Mpaka anakufa.
πππππWapewe adhabu gan Kali zaidi ya kifo mkuu maana km n jicho washaliwa wakaona rahaa c shidaHasa kwenye USHOGA hapo, naona adhabu ya kunyongwa ni ndogo vile..