Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
HUYU NI ULINZI TOSHA HAUTAOGOPA HOFU USIKU WALA MCHANAView attachment 2958831
Hyo aliyesulubiwa si yesu soma biblia Mathayo 27 :32-37
hakuna mahali imeandikwa kuwa huo msalaba alirudishiwa Bwana Yesu
32Walipokuwa wakienda, wakamkuta mtu mmoja jina lake Simoni, mwenyeji wa Kurene, wakamlazimisha kuuchukua msalaba wake Yesu.
33Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, "Mahali pa Fuvu la kichwa,
"34wakampa mchanganyiko wa divai na nyongo. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.
35Walimsulubisha, kisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura.
36Wakaketi, wakawa wanamchunga.
37Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lilioandikwa, "Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi."