Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Kutangulizwa mbele za haki isiyo julikana...Kung’atisha mashuka ndo nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutangulizwa mbele za haki isiyo julikana...Kung’atisha mashuka ndo nini
Kwaiyo walijichukulia sheria mkononiKutangulizwa mbele za haki isiyo julikana...
Mkuu inategemea uko upande gani kama upo upande wa wanyongaji basi kwako wanaonyongwa ni washenzi!hiyo heading ilitakiwa isomeke
Nchi hatari zaid kwa binadamu washenzi kuishi duniani! China, Iran & Saudi arabia
nasimama hapo kwenye konyongwa kupata maendeleo hapo ni rahisi.Mkuu wwe ndo utuambie
Inategemea mfumo unaongozwa na naninasimama hapo kwenye konyongwa kupata maendeleo hapo ni rahisi.
Kaushi Isreal uone .Isreal kila mtu analindwa na askari 10Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini
View attachment 2958799
IRAN pia ilinyonga watu waliojihusisha na maandamano juu ya kifo cha mwanamke ambaye aliuliwa na polisi kwa kutovaa hijabu.
Hapana, haikutumika sheria ya mkononi... Walitumia sheria ya asili...Kwaiyo walijichukulia sheria mkononi
sijaelewa israel inahusikajeKaushi Isreal uone .Isreal kila mtu analindwa na askari 10
Haki za binadamu za israel na USA ndio kunafaa ndio maana mnaingiliana wanaume kwa wanaume kwa kisingizio cha haki za binaadamuHizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini
View attachment 2958799
IRAN pia ilinyonga watu waliojihusisha na maandamano juu ya kifo cha mwanamke ambaye aliuliwa na polisi kwa kutovaa hijabu.
Hapa hii comment unamjibu nani??Haki za binadamu za israel na USA ndio kunafaa ndio maana mnaingiliana wanaume kwa wanaume kwa kisingizio cha haki za binaadamu
Vipi walionyongwa kisa kuandamanaSasa kama we msaliti wa mother nation utaachwa?
Yaani we unakua rafiki na adui wa taifa lako.
We ndo wa kuunganisha assassination plot dhidi ya viongozi wa kijeshi, mabalozi na wanausalama wengine.
Wewe ndo mhamasishaji wa maandamano hatari juu ya taifa lako Kwa jina la demokrasia.
Nani akuache?
Hata hapa home hutabaki salama.
Yaani maandamano Kwa nchi kama Iran ukionesha kuwa muumini wa mitizamo ya kimagharibi kama demokrasia Yao. Utaondoka.Vipi walionyongwa kisa kuandamana
Ha ha ha nakuelewa lakini aliyeuliwa alikua hajavaa ijabu! na haikuwa haki kumuua mtu kisa kuvaa kitambaaYaani maandamano Kwa nchi kama Iran ukionesha kuwa muumini wa mitizamo ya kimagharibi kama demokrasia Yao. Utaondoka.
Ni kama Kwa nchi kama Israel uanze kuonesha misimamo ya kuiunga mkono Iran . Hutabaki salama.
Ulizia kilichompata Yizhak Rabin alipojaribu normalization na Wapalestina.
Pia ulizia kilichompata JFD alipojaribu normalization na Soviet.
Usalama wa taifa ni zaidi ya demokrasia.
Saudianchi gan mkuu
Nchi ipi hiyo mkuu? Nataka nikazurure huko.Si hatari maana waharifu wanajua watakipata cha mtema kuni.
Sasa nchi hizo ambazo wewe waona salama, chukulia mexico, us watu wanauana wenyewe. Mwanafunzi anaweza chukua bunduki akaanza rusha risasi kwa wanafunzi wenzake. Na ni matukio ya kila mara.
Ni salama zaidi kuwa huko kuliko nchi hizo nyingine.
Ona yule rais aliyechukua magang wote katia gerezani, raia wake wanafurahi nchi imekuwa salama eti haki za binadamu wanaanza ooh amevunja haki zao wakati nchi ilikuwa inaongozwa na magenge hadi raia wanakimbia nchi na hawarudi. Now ni salama hadi watalii wanatembea mtaani kwa amani
Hongera mkuuSaudia
Ingefaa tuibinafsishe Zenji kwa China walau kwa mwaka mmoja ili kukomesha ushoga, ila sema zaidi ya 90% watanyongwa chap chapHizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka.
Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini
View attachment 2958799
IRAN pia ilinyonga watu waliojihusisha na maandamano juu ya kifo cha mwanamke ambaye aliuliwa na polisi kwa kutovaa hijabu.
Zenzi ni kitovu cha ushoga tanzania?Ingefaa tuibinafsishe Zenji kwa China walau kwa mwaka mmoja ili kukomesha ushoga, ila sema zaidi ya 90% watanyongwa chap chap