musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
KabisaAisee tungekuwa nyuma sana hata Nyerere tusinge mfahamu hahah
Mama nani tena
Akin membe, akina Kasim wote wamesomea humo. Nitajie prof mmoja mbaye hakusomea shule za catholiki nami nikutajie maprof 200Aisee tungekuwa nyuma sana hata Nyerere tusinge mfahamu hahah
Kivipi mkuu, au ndio unataka kusema tungekuwa tunajisaidia vichakani!?Aisee tungekuwa nyuma sana hata Nyerere tusinge mfahamu hahah
Mzee Mohamed Said kijana anastahili elimu kutoka kwako.Wasalaam
Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya
Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu Mchamungu na padre
Shule nyingi kumbe pia zilikuwa za kanisa...bado huduma za afya maeneo mengi mikoani huko ni mengi kusema bila kanisa sijui kama nchi tungekuwa wapi
😀😀😀daahKivipi mkuu, au ndio unataka kusema tungekuwa tunajisaidia vichakani!?
Amesoma shule za kina nani? Iyo Tabora boys ilojengwa na nani??Kivipi mkuu, au ndio unataka kusema tungekuwa tunajisaidia vichakani!?
Ingejulikana hapohapo
Wasalaam