bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Kina Nyerere hawakuliona hili hadi kukurupuka kudai uhuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Homeless wengi wa USA ni wagonjwa wa akili,mateja,wewe rasilimali unayoangalia ni ardhi tu. China hawana middle class either ni matajiri au ni workmen. ardhi ya kutosha lakini bado wanaishi kwenye vimiji concentrated. kwasababu uchumi sio ardhi. hatuko karne ya 15.
hatuna rasilimali wala uchumi wa ku-support watu milioni 60 waishi maisha at least yenye utu.na hata tujitahidi vipi hatuwezi . hii nchi maximum ni 40M.. Marekani wenye nchi ya dunia ya kwanza ina watu milioni 330 lakini zaidi ya milioni 30 hawana makazi ya kudumu, bado hujakutana na homeless wanaoishi nje kabsa + kuna mizozo imeanza ya kuzuia immigrants kuingia.
dunia imebadilika na hivi karibuni kuna recession inakuja.
Kumbewewe rasilimali unayoangalia ni ardhi tu. China hawana middle class either ni matajiri au ni workmen. ardhi ya kutosha lakini bado wanaishi kwenye vimiji concentrated. kwasababu uchumi sio ardhi. hatuko karne ya 15.
hatuna rasilimali wala uchumi wa ku-support watu milioni 60 waishi maisha at least yenye utu.na hata tujitahidi vipi hatuwezi . hii nchi maximum ni 40M.. Marekani wenye nchi ya dunia ya kwanza ina watu milioni 330 lakini zaidi ya milioni 30 hawana makazi ya kudumu, bado hujakutana na homeless wanaoishi nje kabsa + kuna mizozo imeanza ya kuzuia immigrants kuingia.
dunia imebadilika na hivi karibuni kuna recession inakuja.
walianzaje kuwa mateja...? ni stress za maisha..Homeless wengi wa USA ni wagonjwa wa akili,mateja,
Stress zipi wakati uhakika WA life upo ajira tele.walianzaje kuwa mateja...? ni stress za maisha..
Nimerudia kusoma hi post yako mara 10 ila sijapata concept yakowewe rasilimali unayoangalia ni ardhi tu. China hawana middle class either ni matajiri au ni workmen. ardhi ya kutosha lakini bado wanaishi kwenye vimiji concentrated. kwasababu uchumi sio ardhi. hatuko karne ya 15.
hatuna rasilimali wala uchumi wa ku-support watu milioni 60 waishi maisha at least yenye utu.na hata tujitahidi vipi hatuwezi . hii nchi maximum ni 40M.. Marekani wenye nchi ya dunia ya kwanza ina watu milioni 330 lakini zaidi ya milioni 30 hawana makazi ya kudumu, bado hujakutana na homeless wanaoishi nje kabsa + kuna mizozo imeanza ya kuzuia immigrants kuingia.
dunia imebadilika na hivi karibuni kuna recession inakuja.
Overpopulation is a more immediate problem than a government's failed policies. kama watu wanazaa watoto na wanashindwa kuwahudumia, unategemeaje serikali ipange mikakati kwa populace inaoongeza bila mpangilio.Nimerudia kusoma hi post yako mara 10 ila sijapata concept yako
China vp mkuu?Tukitoa huu uchafu unaitwa CCM mambo yataenda sawa haswa
Kasome Isaya 50:11Ukiuliza sera ya serikali kwa sasa ni nini hata viongozi wenyewe hawajui. Wataanza kukutajia SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, watakutajia Bandari na kadhalika.
Kwa ufupi hata viongozi hawajui Tanzania na Watanzania wanahitaji nini.
Watanzania wenyewe pia hawajui wanahitaji nini kwasasa, miaka na miaka kazi kulalama kuwa maisha magumu.
Ukimuuliza Mtanzania kwanini maisha magumu utamsikia anasema serikali ndio sababu.
• Kwa wingi huu wa rasilimali sikutarajia mpaka sasa kuona wamama wajawazito Dar es salaam wakienda kujifungua na mapegi mgongoni yaliyojaa vifaa vya kujifungulia.
• Kwa wingi huu wa rasilimali sikutarajia kuona a baadhi ya shule za msingi Dar es salaam darasa Moja kurundikana wanafunzi zaidi ya mia moja.
• Ardhi yenye rutuba ipo , viwanda vya sukari vipo lakini sasa mwaka wa 8 bei ya sukari si himilivu.
Kwa ufupi Watanzania watapata taabu mpaka mwisho wa Dunia.
Anayebisha abishe lakini akumbuke matumaini waliyopewa Watanzania 2012/2013 jinsi gesi ya Mtwara itakavyoondoa umaskini. Leo hii ni miaka 10 tangu mradi uanze.
Kiko wapi?
Sijakuelewa mkuuChina vp mkuu?
Nchi ambayo katibu mwenezi ana nguvu kimamlaka kuliko Waziri mkuuMasikini Tanzania