huenda aliefitinika zaidi ni yule ambae hadi leo ana zaidi ya miaka 45 na bado anaishi kwa wazazi wake, na asivyojielewa, amejipa jukumu la kutunga porojo nonsense na uongo mitandaoni dhidi ya waliofanikiwa kwa bidii zao na kuinuliwa kwa Neema na baraka za Mungu.Habari picha