Nchi hii imefitinika. Huyu na wahuni wenzake alimkaba Warioba na leo ni Waziri!

Hivi PM mstaafu hana security details mpaka konda boy anamfanyi a fujo
 
Ajabu sana.
Mhalifu aliyemkaba kabali na kumpiga makofi Waziri mkuu na makamu wa rais mstaafu anafaa kuwa lupango, siyo kwenye ofisi ya umma kama waziri
 
Habari picha
huenda aliefitinika zaidi ni yule ambae hadi leo ana zaidi ya miaka 45 na bado anaishi kwa wazazi wake, na asivyojielewa, amejipa jukumu la kutunga porojo nonsense na uongo mitandaoni dhidi ya waliofanikiwa kwa bidii zao na kuinuliwa kwa Neema na baraka za Mungu.

wivu na uvivu wake vimemfanya daima kukerwa na kukasirishwa na mafanikio ya wenye bidii 🐒
 
Kwakweli ogopa Mungu na tekenolojia....🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…