Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
NI hatari sn ndiyo maana wanachezea pesa za ummaNaweza kuandika kitabu kizima, nikupe mfano, mtu anapohakikishiwa usalama wa kutowajibishwa akifanyanlolote lile akiwa madarakani au hata akitoka madarakani, nini kitamfanya aogope kulihujuma taifa? Huo ni mfano wa kinachohitaji kurekebishwa.
Inafikirisha !!Katiba haina meno itaachaje kupuuzwa?.Katiba ina kingia kifua makosa ya watu itaachaje kupuuzwa.katiba inatoa mamlaka makubwa kwa mtu itaachaje kupuuzwa?.
Kwa katiba hii tu tuliyo nayo kuna mambo kibao yanakiukwa na wanayamezeaHata ije katiba ya huko kwa malkia maisha yetu ni yetu wenyewe, ukifeli una feli mazima.
Na hiyo ndio maana ya mjadala, ili tuweze kupata katiba mpya itakayotibu udhaifu uliopo kwenye katiba ya sasa.Mbona hata rasimu ya Warioba imeweka masharti ya kutoshitakiwa viongozi wakuu?
Yanamezewa sababu katiba yenyewe inawapa ulinzi wahusika, kwahiyo katiba yenyewe inawalinda wanaoikiuka, ndio maana inabidi irekebishweKwa katiba hii tu tuliyo nayo kuna mambo kibao yanakiukwa na wanayamezea
Hata hii wakisema waiweke hali itakuwa ile ile
Ova
Okay nimewaelimisha na hili jambo ni endelevu mkuu, na hii elimu tunawapa ni kama damage control tu sababu the damage is so huge to the extent that, sometimes people are left in dilema, mfano "the covid saga ", serikali iliposema hakuna korona tz na chanjo hazifai ilhali watu wanakufa na korona, kuna wakati kusema corona ilikuwa kosa la jinai ila chakushangaza serikali ile ile sasa(baada ya Magu kurest) inasema chanjo ni nzuri na inafaa na corona ipo WTF is that? Yan mtu mmoja alikuwa kawashikia mawazo watu wote hawa ?, chanjo zipo ila watu hawachanji unafikir kwanini ?Mkzuu wewe, unalijua wajibu wako. Effectively je umefanya nini??? Kuibadilisha jamii iliyo kunzunguka kujua wajibu lao kwa serikali..
Au unapga kelele kwenye shimo lenye jiza tororo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nasema katiba sio kipaumbele changu. Nasubiri kwenda zangu.Yeyote atakayesema katiba sio kipaumbele chake ataenda zake
SHika hili,hakuna kitu hicho unachoita Katiba mpya,trust me.Na hiyo ndio maana ya mjadala, ili tuweze kupata katiba mpya itakayotibu udhaifu uliopo kwenye katiba ya sasa.
Kwa sasa hakipo, ndio maana tunakihitaji haraka iwezekanavyo!SHika hili,hakuna kitu hicho unachoita Katiba mpya,trust me.
Itabadilishwa, hatukubali!Sisiemu hawaezi kubadili katiba milele,,hii katiba inawabeba kwa asilimia 100% bila kupepesa...
Ujinga wa wananchi na katiba ndio mtaji wa wanasiasa
Itabadilishwa, hatukubali!
Hamna cha 2035 wala nini, tunaminyana hadi tuipateLabda watakaokuwepo 2035 ndio wataanza kuona dalili za mabadiliko
Hamna cha 2035 wala nini, tunaminyana hadi tuipate
Katiba inahusu. Hujamsoma mleta mada kuhusu accountability?Katika haiji kwa sababu mnaisingizia.
Tatizo sio katiba hata kidogo,watu sio kwamba tutafute kiini cha tatizo bali tutafute kiini halisi cha tatizo,ishu sio katiba ishu ni watu wanaofuata katiba hiyo.
Katiba sio ishu kabisa.
Katiba ingefuatwa wale wabunge 19 waasingekuwa bungeni kwa maana katika iliweka taratibu nzuri tu ila shida watu wanaosimamia wameamua kuipuuza.
Sasa kwa ishu kama hii hautakiwi kuilalamikia katiba,walalamikiwe watu wanaosimamia hizo katiba
Hakika, this has to be adressedKatiba inahusu. Hujamsoma mleta mada kuhusu accountability?
Jambo lolote kama linamfurahisha rais, hao subordinates wanalifanya hata kama ni kinyume na sheria na katiba ya nchi.
Ulinzi kutoka kwa rais ni mkubwa kuliko ule wa katiba kwasababu rais yuko juu ya sheria za nchi na katiba haimwajibishi kwa lolote lile.
Nitoe rai moja tuu, wananchi wasijikite sana na kudai katiba mpya inaonekana viongozi wa CCM wako alergic na nenoKiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme hivyo na awajibishwe endapo hatoifuata.
Mfano leo ukaniambia kwamba tunakupa madaraka fulani, na haijalishi utakalofanya, hakuna anaeweza kukushtaki uwapo madarakani au hata ukitoka, sasa hapo mimi nina tofauti gani na ‘Mungu’? Hivi ni nini kitanifanya niogooe kulihujumu taifa? Mfano nikaamua kwenda kukopa dollor bilioni 3 halafu nikaemda kujenga nyimba ya dhahabu shambani kwangu, mtanifanya nini?
Na ukija kuchunguza udhaifu mwingi na madudu mengi yametokana na katiba kushindwa kuwabana na kuwawajibisha ipasavyo wahisika, inabaki kupiga kelele na kulialia hovyo majukwaani kama anavyofanya Ndugai, wakati kiuhalisia muhusika anaruhusiwa kikatiba kufanya hivyo.
Mlio kwenye system, katiba mpya tunaipata lini? Au ndio tusubiri kupigwa mnada kama ng’ombe sokoni?!
katiba mpya. Practically hata katiba iliopo ikifinyiwa heavy upgrade (marekebisho ya kimsingi) basi matokeo yake ni sawa na katiba mpya. Subili Lisu angie ikulu na katiba mbovu ndio wataelewa watajutaKatiba mpya ni mwiba kwa watawala wa ccm, hawajui inaweza kufika mahali katiba mbovu ikawageuka hata wao wenyewe......muda ni mwalimu mzuri.