Resigning to the fate/Kukata tamaa kabisa ni hatari sana. Yaani umeshajidharau tayari. Kisa eti wewe ni mwafrika. Dah!Kwa mwafrika hata umuweke katiba iliyotoka mbinguni,mambo ni ni yale yale
Nafikiri!tatizo letu linajulikana
Ova
Iwepo kwanza hiyo katiba mpyaKatiba mpya ni mwiba kwa watawala wa ccm, hawajui inaweza kufika mahali katiba mbovu ikawageuka hata wao wenyewe......muda ni mwalimu mzuri.
Mtu anaamka tu usingizini anakwambia kabudicna lukuvi nimewapangia kazi, na kazi zenyewe hazipo kwenye muundo, sasa hii maana yake nini? Mtu anajiamulia tu bila guidelines zozote?! Katiba mpya ni kazima ili tupate kuwabana na kuwapa miongozo ya ufanyaji kazi, yaani mtu anajiamulia tu bila restrictions whatsaoever?! Amekuwa Mungu?!Nitoe rai moja tuu, wananchi wasijikite sana na kudai katiba mpya inaonekana viongozi wa CCM wako alergic na nenokatiba mpya. Practically hata katiba iliopo ikifinyiwa heavy upgrade (marekebisho ya kimsingi) basi matokeo yake ni sawa na katiba mpya.
Taasisi za kiraia zijikite hapo katika orodha ya mambo ya msingi na kuanza kuyadai kwa njia wanazoona zinafaa.
Nadhani hukufahamu vizuri, alichosema raisi kazi atakazowapangia hazitangazwi. Nilivyotafsiri mie wameajiriwa katika kazi ambazo hazimo katika orodha ya kuapishwa na kutangazwa. Sasa kwa mfano karani wa office pia atajwe kwenye katiba na kuapishwa kwa vigerere 😀Mtu anaamka tu usingizini anakwambia kabudicna lukuvi nimewapangia kazi, na kazi zenyewe hazipo kwenye muundo, sasa hii maana yake nini? Mtu anajiamulia tu bila guidelines zozote?! Katiba mpya ni kazima ili tupate kuwabana na kuwapa miongozo ya ufanyaji kazi, yaani mtu anajiamulia tu bila restrictions whatsaoever?! Amekuwa Mungu?!