Nchi hii, kiini cha kila tatizo tulilo nalo inaonekana ni katiba mbovu; mlio kwenye system, naomba mtujuze, inabadilishwa lini?

Nchi hii, kiini cha kila tatizo tulilo nalo inaonekana ni katiba mbovu; mlio kwenye system, naomba mtujuze, inabadilishwa lini?

Katiba mpya ni mwiba kwa watawala wa ccm, hawajui inaweza kufika mahali katiba mbovu ikawageuka hata wao wenyewe......muda ni mwalimu mzuri.
Iwepo kwanza hiyo katiba mpya
 
Nitoe rai moja tuu, wananchi wasijikite sana na kudai katiba mpya inaonekana viongozi wa CCM wako alergic na neno katiba mpya. Practically hata katiba iliopo ikifinyiwa heavy upgrade (marekebisho ya kimsingi) basi matokeo yake ni sawa na katiba mpya.

Taasisi za kiraia zijikite hapo katika orodha ya mambo ya msingi na kuanza kuyadai kwa njia wanazoona zinafaa.
Mtu anaamka tu usingizini anakwambia kabudicna lukuvi nimewapangia kazi, na kazi zenyewe hazipo kwenye muundo, sasa hii maana yake nini? Mtu anajiamulia tu bila guidelines zozote?! Katiba mpya ni kazima ili tupate kuwabana na kuwapa miongozo ya ufanyaji kazi, yaani mtu anajiamulia tu bila restrictions whatsaoever?! Amekuwa Mungu?!
 
Nadhani hukufahamu vizuri, alichosema raisi kazi atakazowapangia hazitangazwi. Nilivyotafsiri mie wameajiriwa katika kazi ambazo hazimo katika orodha ya kuapishwa na kutangazwa. Sasa kwa mfano karani wa office pia atajwe kwenye katiba na kuapishwa kwa vigerere 😀
 
Back
Top Bottom