Nchi Ikafanikiwa Kufanyiwa Mageuzi, Kamanda Muliro Afukuzwe Kazi

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala.

Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia, baada ya kutolewa Mwanza na kupelekwa Dar ni kama alilewa sifa na madaraka.

Nchi ikifanikiwa kukombolewa huyu Polisi apigwe chini mara moja na genge lake la wahuni.
 
Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala. Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia, baada ya kutolewa Mwanza na kupelekwa Dar ni kama alilewa sifa na madaraka.

Nchi ikifanikiwa kukombolewa huyu Polisi apigwe chini mara moja na genge lake la wahuni.
The fit reward ni facing firing squard
 
Hakuna kumshitaki ni kumtekea familia yake nae yaan harafu mnakuja na maneno ya kejeri ...km wanayokuja nayo...Nae maumivu ayapate mwishoni na yy sasa anaanza kupelekewa moto yaan kila mda anakamatwa anakula virungu mnamwachia mpaka ajambe
 
Jamaa ni mkristo lakini huwezi kumuona Yoda Retired wakiutukana ukristo.

Akija shehe ubwabwa Alhadi utaona kina Yoda na ndugu zake wakitukana waislamu na uislamu kwa ujumla.
 
Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala.

Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia, baada ya kutolewa Mwanza na kupelekwa Dar ni kama alilewa sifa na madaraka.

Nchi ikifanikiwa kukombolewa huyu Polisi apigwe chini mara moja na genge lake la wahuni.
Haishoti ashtakiwe pia kwenye martial court
 
Jamaa ni mkristo lakini huwezi kumuona Yoda Retired wakiutukana ukristo.

Akija shehe ubwabwa Alhadi utaona kina Yoda na ndugu zake wakitukana waislamu na uislamu kwa ujumla.
Mimi situkani dini yoyote, napinga ujinga unaofanyika katika dini zote hasa hizo kubwa mbili zilizojikita hapa bongo.
 
Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala.

Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia, baada ya kutolewa Mwanza na kupelekwa Dar ni kama alilewa sifa na madaraka.

Nchi ikifanikiwa kukombolewa huyu Polisi apigwe chini mara moja na genge lake la wahuni.
Wote hao wana kesi ya kujibu kwenye mahakama ya kimataifa ya uharifu.... The Hague kule uholanzi.

Sioni ni kwa vipi wataepuka kikombe hiki cha damu ya watu wasio na hatia.
 
Akae kwa Blackout box masaa 9 Huku chunba kikiwa na Gesi Kali ya Cae137.
 
Back
Top Bottom