Huyo hapaswi kupigwa ,huyo anapaswa apeleke uwanja wa Taifa kisha akasimangwe na wamama wakidigo hadi akate rohoHuyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala.
Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia, baada ya kutolewa Mwanza na kupelekwa Dar ni kama alilewa sifa na madaraka.
Nchi ikifanikiwa kukombolewa huyu Polisi apigwe chini mara moja na genge lake la wahuni.