Nchi iko katika maombolezo, huku soka, harusi, sherehe na burudani zinaendelea, sasa kwanini kumpokea Lissu ndio iwe tatizo?

Nchi iko katika maombolezo, huku soka, harusi, sherehe na burudani zinaendelea, sasa kwanini kumpokea Lissu ndio iwe tatizo?

CORONA ni mpango wa Mungu. Nasikia jamaa alikuwa ni mbabe sana. Amestaafu ubabe sasa yuko mawinguni.
 
Na sio hayo tu,hata upigaji wa kura za maoni kweny vyama vya siasa unaendelea.Sasa kwanini watu kwenda kumpokea mgeni/kiongozi wao ndio iwe tatizo?

Ni wapi CHADEMA wamesema wataandamana?

Kukutana airport huku kila mtu akitokea nyumbani Kwake, ndio kuandamana au ndio kufanya mkusanyiko usio halalai?

Kama ni hivyo,wanaokusanyika katika sehemu zingine kama viwanjani, kwenye makongamano au mikutano,nao wanavunja sheria?

Hivi nchi hii imeundwa leo au jana kiasi kwamba bado hatuzijui vizuri sheria za nchi na katiba ya nchi hii mpya?

Kwa maneno mengine,tunaishi katika nchi mpya ikiwa na watu wapya katika uongozi wa taaaisi mbalimbali za nchi na ndio maana tunaonekana kukosea/kujichanganya?
Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake mwenyewe
 
Ni maombolezo FAKE Mkuu. Nakumbuka Maombolezo ya Mwalimu starehe zote Nchini zilifungwa. Kwanini maombolezo haya ni tofauti? KULIKONI?

Je, Mkapa kwa kumpinga yesu wa lugola kuongeza muda baada ya miaka 10 na kuitaka Tume Huru ya Uchaguzi alionekana ni pingamizi la maccm hivyo kupewa sumu kama Mangula aliyekataa Membe kufukuzwa chamani?
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji45][emoji45][emoji45][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Back
Top Bottom