Vipi bado katiba mpya haifai kwa sababu haileti pesa mkononi?Ushuru barabarani unakera kwelikweli toka mkoa mmoja kwenda mwingine wanachaji yaani inaboa na lisiti wanazotoa za mkono it is too frustrating for sure. Hapo bado sokoni unakuta bei iko chini na wanunuzi hakuna
Hoyo shilingi bilioni 50 kwa nchi nzima, nayo no hela?Mafuta ya kula yakipanda bei ni fursa kwako mkulima. Sasa lima alizeti upige pesa. Kuhusu mahindi NFRA wamepewa pesa wayanunue. Tafuta vituo vyao ukauze.
Kuna document inaitwa " Silent weapons in a Quiety Wars" yaani tunapigana vita na adui asiyeonekana, humuoni adui yako, lakini tunahisi kabisa kwamba "tunaishi pamoja na tembo chumbani" sasa chumba kimekuwa hakitoshi tunabanana.Luna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.
1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweeeli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????
2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc. Nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere. Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.
3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.
4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.
5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....
6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hivi kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa
My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui.
Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa. Its soo frustrating.
Swala la bei ni swala la kiuchumi zaidi kuliko siasa. It is all about demand and supply. Supply imekuwa kubwa kwenyw soko la ndani na hata kwa majirani wanaotuzunguka. Kila nchi inapambana na food security na ndio tunaishia kuzidisha supply kwenye market.No body cares.....yaani ukimuuliza mtu anaejua kilimo. Kulima ekari 20 is not a joke.......gharama tu zilizotumika hadi unapata mazao nimechoka guys,...
Achana na mahindi lima horticulture in small scale
Uko sahihi,tena mbaazi hazina shida,tatizo watu wamekariri mazao yaleyale,ila ngwara ndio zao gani mkuuTunachoweza kufanya ni kwa wenye capital kulima mazao ambayo sio kila kaya inaweza kulima. Tulime soya, mbaazi, maharage na ngwara. Na hapo nayo kuna ambazo zitafikia over supply kwenye soko, then tunalima alizeti na mahindi. Let be elastic kwa wenye uwezo.
Uko nchi gani?Mafuta ya kula yakipanda bei ni fursa kwako mkulima. Sasa lima alizeti upige pesa. Kuhusu mahindi NFRA wamepewa pesa wayanunue. Tafuta vituo vyao ukauze.
Kuna document inaitwa " Silent weapons in a Quiety Wars" yaani tunapigana vita na adui asiyeonekana, humuoni adui yako, lakini tunahisi kabisa kwamba "tunaishi pamoja na tembo chumbani" sasa chumba kimekuwa hakitoshi tunabanana.
Haya mambo yote hayapo kwa bahati mbaya, yamekuwa engineered purposely..mbinu inayotumika ni ya kisoshalist! Mbinu ambayo imebuniwa na taasisi inayoitwa " The Fabians society" hawa ndo waliobuni siasa za Ujamaa na Ukomunisti..anagalia logo yao ukigoogle, kwamba wana i mould dunia wanavyotaka.
Hawa " the Fabians" wenye makao makuu yake Uingereza wamechukua jina la Generali wa kirumi miaka hiyo ambaye aligundua mbinu za kumshinda adui taratiibu bila vita kwa kubadili "policy" yaani kidogo kidogo hadi adui anapokuja kushituka 'it is too late'
Hii ni kazi ya Illuminatti, binadamu tunaitwa tuamke tujikomboe utumwani dhidi ya hawa mashetani wa Ki Illuminatti lakini people wapo tayari kupigana ili kuutetea mfumo kandamizi.
That is why Bob Marley aliimba kuwa Babylon system is a vampire.......
Ikioja mtu anasema hivyo, hana hata ABC ya kilimo. Hao ni wakulima wa mitandaoni.Daaahhh yaani kirahisi hivyo!.
Mkuu hukulima kitaalamu? Ekari 20 gunia 200? Namna hii kweli kilimo ni uti wa mgongoLuna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.
1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweeeli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????
2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc. Nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere. Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.
3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.
4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.
5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....
6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hivi kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa
My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui.
Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa. Its soo frustrating.
Najaribu tu kujiuliza, kuwa wizara ya kilimo kazi yake ni nini? kwanini wizara isiwasaidie wakulima wake kupata masoko? Nchi tunayosema kuwa watu wake wengi ni wakulima inakuwaje tunakuwa watu wanapewa dhamana hiyo na bado wanashindwa kutengeneza mazingira ya masoko?Luna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.
1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweeeli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????
2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc. Nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere. Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.
3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.
4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.
5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....
6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hivi kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa
My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui.
Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa. Its soo frustrating.
Hata Dengu sio mbaya...Acha kulialia 90% watanzania wanalima mahindi kalime vanilla Kama unataka hela