Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi?

Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua mimi ni nani?" Nakwambia this time tutatoana utumbo barabarani!
 
Wataalam wanasema samaki huoza kuanzia kichwani,na kamwe hawezi kuanzia mkiani.

Vinginevyo tuamue tu kumkata kichwa huyu samaki kabla hajaoza mwili mzima
 
Hivi jamaa alikubalije kuingia mule mi nisingekubali aisee!
 
Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni mwanajeshi...
Might makes right

Siku zote mwenye nguvu, mwenye silaha lazima umsikilize na umuheshimu. Ukileta ujuaji na ubishi, utaipa matatizo tuu familia yako.
 
Kwanza chanzo nini tuanziye hapo wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…