Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Hawa watu tunaishi nao, huyo jamaa anaonekana kwenye video na jina limeishapatikana na mahali anapoishi, sasa kelele za nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akisikika siku moja akisema "iko siku mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mema, ....... Nimejitoa sadaka maisha yangu ili kuwasaidia Watanzania.Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi?
Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua mimi ni nani?" Nakwambia this time tutatoana utumbo barabarani!
Ata ukimjua utamfanya nini?Hawa watu tunaishi nao, huyo jamaa anaonekana kwenye video na jina limeishapatikana na mahali anapoishi, sasa kelele za nini?
Mama hajali, yuko bize kudeploy mapolisi mitaani kusaka watu wanaonunua madada poa na kuchapa viboko watu wanaokula mchana.Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi?
Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua mimi ni nani?" Nakwambia this time tutatoana utumbo barabarani!
Kuna nini?Mkuu,
Ukiwaorodhesha hivyo bila kuwa-tag hawataona..
The Sunk Cost Fallacy, chinembe, Black belts
mnaitwa huku!
Sasa wewe jamaa umeandika nini? Kunywa maji afu ukitulia andika vizuri ueleweke sio kukurupuka kama Chadomo.Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi?
Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua mimi ni nani?" Nakwambia this time tutatoana utumbo barabarani!
Acha na wewe kutukumbusha yule muuaji.Akisikika siku moja akisema "iko siku mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mema, ....... Nimejitoa sadaka maisha yangu ili kuwasaidia Watanzania.
YAMETIMIA.
Unafaham kuwa uhalifu mwingi ulifanywa na wabaya wake ili kumfanya aonekane mhalifu?Acha na wewe kutukumbusha yule muuaji.
Kama ni hivyo kwanini hakukemea wala kuunda tume kuchunguza uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanyika katika utawala wake?Unafaham kuwa uhalifu mwingi ulifanywa na wabaya wake ili kumfanya aonekane mhalifu?
Una umri gani mkuuKama ni hivyo kwanini hakukemea wala kuunda tume kuchunguza uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanyika katika utawala wake?
Kauli ya kinyonge sana hii Mkuu.Might makes right
Siku zote mwenye nguvu, mwenye silaha lazima umsikilize na umuheshimu. Ukileta ujuaji na ubishi, utaipa matatizo tuu familia yako.
Aaaaaaa wapi..yule nae alikuwa ni mpigaji tu..tembea ujionee mkuuAkisikika siku moja akisema "iko siku mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mema, ....... Nimejitoa sadaka maisha yangu ili kuwasaidia Watanzania.
YAMETIMIA.
Tahila huyoAta ukimjua utamfanya nini?