peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Sasa Watanzania wajiandae kuona faida na hasara ya vyama vya upinzani. Hadi 2025 watanzania wajiandae kisaikologia kudumazwa akili na siasa ya vyama kimoja. Habari ya mjini Sasa kila kitu ni ndiyo mzee . Walio kataa upinzani kisa wataletewa MAENDELEO tunayasubiri kwa hamu hayo MAENDELEO CCM itakayoyapeleka kwenye hayo majimbo. Ila mkumbuke kuwa haya Jimbo la spika ndugai like CCM tangu mwaka 1977 ila Hali ya MAENDELEO ni zero.Hatutaki demokrasia uchwara!!! Demokrasia ya kuhimizana kuingia barabarani!!! Tunataka demokrasia ya kuhimizana kuingia kazini kujenga nchi yetu Tanzania.
Litakuwa bunge la kipuuzi kuwahi kutokea, nashangaa mazuzu hapa mtaani wanafurahia wabunge wa upinzani kushindwa, hawajui hii inaenda kuruhusu sisi kama taifa tuwe wapuuzi, bunge la rubber stampHilo bunge najaribu kuwaza tu litakuaje
ZZK lazima ASHINDE
Kwa matokeo haya, ndiyo kusema, wananchi hawataki bunge live! Hoja za kipumbavu kabisa.Sasa watawarudishia na Bunge live
Salary Slip, kwahiyo ni kweli kwamba walitoa bunge live kwa kuhofia wananchi wataona cheche za waliokuwa wabunge wa upinzani ?, sas wakirudisha bunge live na hao wabunge wa ccm peke yao wakiwa hawana wa kuwa challenge binafsi sitaweza kupoteza muda kuangalia bunge hilo kwani naamini ltakuwa la hovyo sanaSasa watawarudishia na Bunge live
Kwa anayoyafanya Magufuli ndiyo Tanzania unayoitamani?Mkuu kwanza pole na kumradhi kwa kukukwaza. Yawezekana TUJITEGEMEE wa jukwaa la kimataifa akaonekana tofauti katika majukwaa mengine. Ukweli ni TUJITEGEMEE yuleyule.
Hata hivyo, linapokuja suala la nchi yangu Tanzania ( sina Tanzania nyingine, sina mbadala wa Tanzania) na Afrika kwa ujumla niko tayari kuitwa majina yoyote kama ni suala la kuitetea Tanzania, watanzania, Afrika na waafrika na wote wenye kujali utu ulimwenguni!! Siwezi kuona aibu katika hili. Hivyo, ninaomba uniwie radhi katika hilo pia.
Naitamani Tanzania imara kimaendeleo katika nyanja zote na Tanzania itakayoendelea kuwepo! Yeyote anayetamani Tanzania isiwepo ama irudi nyuma kimaendeleo awe tayari kuniita majina anayotaka, kwa sababu sitakubaliana naye na sitaona aibu katika hilo.
Tuendelee na mjadala Mkuu.
Pole sana mkuuZZK lazima ASHINDE
Kwa swali lako hili naona bado hujaniwia radhi! Hata hivyo, nimeisha timiza wajibu wangu. Nikirudi mazima sasa kwenye swali lako, ili nikupe majibu sahihi utayoyaelewa utalazimika kwenda kusoma ilani za vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi. Katika usomaji wako angalia ni chama gani kilikuwa na ilani yenye mwelekeo wa Tanzania unayoitaka.Kwa anayoyafanya Magufuli ndiyo Tanzania unayoitamani?
Wataangalia wenyewe...!Sasa watawarudishia na Bunge live
Watu wa qawmi HUD a.s walimwambia Nabii HUD A.S "Man ashaddu minna quwwa" wakimaanisha ni nani mwenye nguvu kuliko sisi?!Na kiko karibu kinakuja Insha Allah
This is what he wantedMagufuli anakwenda kuwa Rais, Rais hadi kifo kimtenganishe na Urais.
Mmna huo moyo wake wente betri, tunamtakia kila la kheri lakini ajue hakuna marefu yasiyo na ncha, na mwisho wake utakua mbaya sanaHaki Ipo Kwa Mungu
Acha Aendelee Mpaka Hapo Atakapochoka Mwenyewe.
na iwe fundisho kwa wapinzani wanaolishwa upepo na mitandao ya kijamii....Niko balazani kwangu nikiangaza huku na huko kuona kama kuna kundi lolo la vijana linalo andamana, lakini mpaka sasa sijaona kikundi wala kikundu.
Kiufupi vijana munapenda sana kutiana ujinga.
Mukiwa nyuma ya keyboard munatamba sana, likija swala la kufanya, muna mbwela.
Haya, sisi tunaendelea kuongoza nchi.
Watajiua kivipi wakati wana uhakika wa kushika madaraka milele hata pasipo ridhaa ya wananchi?.Na kwamba hata watafanye madudu gani hawatoki ng'o.Nadhani hilo ndilo linalowapa jeuri.Walivyo wajinga watarudisha bunge live ili wajiue wenyewe!