Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Hivi unajisikiaje wewe mwananchi wa hai, arusha mjini na Moshi mjini, mbeya mjini, mbunge wako kakaa miaka 10+ hamna kitu amefanya alafu unasikia mwanza, dsm, pwani na mikoa mingine inapaa tu, roho lazma ziume na hayo ndo matokeo yake
Pwani ina nini cha maana au ina kipi cha kuizidi Iringa tu achilia mbali Arusha?

Hiyo DSM majimbo yenye maendeleo makubwa ni yapi?
Hiyo Mwanza ya 2014 na ya sasa kumeongezeka nini zaidi ya daraja la furahisha?
 
Maendeleo yana vyama!
Strange enough kodi haina vyama!

P unanichekesha sana na hii mada, ya kuunga mkono juhudi!

Tuseme tu haina haja ya kuwa na vyama vingi, siyo for the sake of unity!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mkuu kwanza pole na kumradhi kwa kukukwaza. Yawezekana TUJITEGEMEE wa jukwaa la kimataifa akaonekana tofauti katika majukwaa mengine. Ukweli ni TUJITEGEMEE yuleyule.

Hata hivyo, linapokuja suala la nchi yangu Tanzania ( sina Tanzania nyingine, sina mbadala wa Tanzania) na Afrika kwa ujumla niko tayari kuitwa majina yoyote kama ni suala la kuitetea Tanzania, watanzania, Afrika na waafrika na wote wenye kujali utu ulimwenguni!! Siwezi kuona aibu katika hili. Hivyo, ninaomba uniwie radhi katika hilo pia.

Naitamani Tanzania imara kimaendeleo katika nyanja zote na Tanzania itakayoendelea kuwepo! Yeyote anayetamani Tanzania isiwepo ama irudi nyuma kimaendeleo awe tayari kuniita majina anayotaka, kwa sababu sitakubaliana naye na sitaona aibu katika hilo.

Tuendelee na mjadala Mkuu.
CCM = TANZANIA, hapo ndo kwenye tatizo.
 
Wapinzani hatujakosea kama ccm ilivyokosea wananchi mfano wakulima wa Pamba,korosho.
Itashitakiwa kwa unfair election hence hakuna democracy na hivyo watunyime tu misaada.
Ndugu hakuna cha kushtakiwa wala nini Sheria ya ICC sio kufungua kule moja kwa moja ni lazima shauri lifunguliwe kwenye mahakama ya ndani then itakapofeli kutoa hukumu ndipo ICC inahusika.

Kuitwa ICC ni jambo moja na hukumu ni jambo lingine mpaka hapa mchezo umeisha,utaona mwenyewe.

Na Rais akitangazwa hupingi popote,imeisha hiyoo CCM hoyeee...
 
Ila poa pamoja na siipendi ccm acha tu wabunge wa upinzani wapumzike kwanza maana wanatakiwa wajifunze hakunaga siasa ya kususasusa, bungeni kila likitokea jambo wanatoka bungeni wanaenda kupumzika mahotelini, kipindi cha corona walitoka bungeni yani kuna uwoga waliiujaza moyoni, wananchi tumechishwa pia na njia zao za kukimbia bunge
Mbona makosa ya Wabunge wa CCM huyasemi?.Binadamu bhana anaangalia tu wapi ulikosea lkn haangalii wala kuhesabu mema uliyoyatenda.
 
Mkuu kwanza pole na kumradhi kwa kukukwaza. Yawezekana TUJITEGEMEE wa jukwaa la kimataifa akaonekana tofauti katika majukwaa mengine. Ukweli ni TUJITEGEMEE yuleyule.

Hata hivyo, linapokuja suala la nchi yangu Tanzania ( sina Tanzania nyingine, sina mbadala wa Tanzania) na Afrika kwa ujumla niko tayari kuitwa majina yoyote kama ni suala la kuitetea Tanzania, watanzania, Afrika na waafrika na wote wenye kujali utu ulimwenguni!! Siwezi kuona aibu katika hili. Hivyo, ninaomba uniwie radhi katika hilo pia.

Naitamani Tanzania imara kimaendeleo katika nyanja zote na Tanzania itakayoendelea kuwepo! Yeyote anayetamani Tanzania isiwepo ama irudi nyuma kimaendeleo awe tayari kuniita majina anayotaka, kwa sababu sitakubaliana naye na sitaona aibu katika hilo.

Tuendelee na mjadala Mkuu.
Huna lolote. Sema tu wazi kwmba wewe mnufaika wa CCM. Eti Nchi yako Tanzania? Kuna chama cha upinzani kiko Tanzania kimetokea Lebanon?
 
wamebaki wabunge wa Yes Yes Yes yes mpaka mwisho hata kama umtie dole la kati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] , Yan ajitokeze mtu wa ccm yeyote kukopa hela ntamsokomeza jiti la mkundu, yan twende kibubu bubu hivyo hivyo kama walivyofanya usenge wao na ndio unaenda kutukost
Hicho kiapo chako ukikumbuke hata pale wewe itakapotokea ukamhitaji mtu wa CCM kwa msaada

Siasa sio vita
 
Huna lolote. Sema tu wazi kwmba wewe mnufaika wa CCM. Eti Nchi yako Tanzania? Kuna chama cha upinzani kiko Tanzania kimetokea Lebanon?
Nimepitia kwa kusoma na kuelewa ilani za vyama vitatu vya siasa ambavyo vilionyesha ushindani katika kampeni! Maelezo niliyoyatoa juu ya Tanzania yamejengwa katika msingi huo.
 
Back
Top Bottom