Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Hakika, mimi mwenyewe nimesikitika sana.Kama usemayo nikweli Basi itakuwa hatari zaidi..
Upinzani Ni mhimu mahali popote pale na ndo huchochea maendeleo ya kitu fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika, mimi mwenyewe nimesikitika sana.Kama usemayo nikweli Basi itakuwa hatari zaidi..
Upinzani Ni mhimu mahali popote pale na ndo huchochea maendeleo ya kitu fulani.
Litakuwa ni bunge la ndiyo mzee kwa kila kitu.Hilo bunge najaribu kuwaza tu litakuaje
Pwani ina nini cha maana au ina kipi cha kuizidi Iringa tu achilia mbali Arusha?Hivi unajisikiaje wewe mwananchi wa hai, arusha mjini na Moshi mjini, mbeya mjini, mbunge wako kakaa miaka 10+ hamna kitu amefanya alafu unasikia mwanza, dsm, pwani na mikoa mingine inapaa tu, roho lazma ziume na hayo ndo matokeo yake
Tutusa kweli wewe,madhara yake utaanza kuyaona very soonHahaha Hadi Raha
kutwa Kupinga kupinga Dawa yao ndiyo Hiyo
CCM = TANZANIA, hapo ndo kwenye tatizo.Mkuu kwanza pole na kumradhi kwa kukukwaza. Yawezekana TUJITEGEMEE wa jukwaa la kimataifa akaonekana tofauti katika majukwaa mengine. Ukweli ni TUJITEGEMEE yuleyule.
Hata hivyo, linapokuja suala la nchi yangu Tanzania ( sina Tanzania nyingine, sina mbadala wa Tanzania) na Afrika kwa ujumla niko tayari kuitwa majina yoyote kama ni suala la kuitetea Tanzania, watanzania, Afrika na waafrika na wote wenye kujali utu ulimwenguni!! Siwezi kuona aibu katika hili. Hivyo, ninaomba uniwie radhi katika hilo pia.
Naitamani Tanzania imara kimaendeleo katika nyanja zote na Tanzania itakayoendelea kuwepo! Yeyote anayetamani Tanzania isiwepo ama irudi nyuma kimaendeleo awe tayari kuniita majina anayotaka, kwa sababu sitakubaliana naye na sitaona aibu katika hilo.
Tuendelee na mjadala Mkuu.
achana naye huyo mpuuzi hajitambuiPwani ina nini cha maana au ina kipi cha kuizidi Iringa tu achilia mbali Arusha?
Hiyo DSM majimbo yenye maendeleo makubwa ni yapi?
Hiyo Mwanza ya 2014 na ya sasa kumeongezeka nini zaidi ya daraja la furahisha?
😝😝😝😝Na kiko karibu kinakuja Insha Allah
Yeye ni binadamu,ana mwanzo na mwisho wake.Haki Ipo Kwa Mungu
Acha Aendelee Mpaka Hapo Atakapochoka Mwenyewe.
Yetu machoHatutaki demokrasia uchwara!!! Demokrasia ya kuhimizana kuingia barabarani!!! Tunataka demokrasia ya kuhimizana kuingia kazini kujenga nchi yetu Tanzania.
We akili hutumii,subiri tuwe kama zimbabwe ya mugabe ndo utaelewaHahaha Hadi Raha
kutwa Kupinga kupinga Dawa yao ndiyo Hiyo
Ndugu hakuna cha kushtakiwa wala nini Sheria ya ICC sio kufungua kule moja kwa moja ni lazima shauri lifunguliwe kwenye mahakama ya ndani then itakapofeli kutoa hukumu ndipo ICC inahusika.Wapinzani hatujakosea kama ccm ilivyokosea wananchi mfano wakulima wa Pamba,korosho.
Itashitakiwa kwa unfair election hence hakuna democracy na hivyo watunyime tu misaada.
Mbona makosa ya Wabunge wa CCM huyasemi?.Binadamu bhana anaangalia tu wapi ulikosea lkn haangalii wala kuhesabu mema uliyoyatenda.Ila poa pamoja na siipendi ccm acha tu wabunge wa upinzani wapumzike kwanza maana wanatakiwa wajifunze hakunaga siasa ya kususasusa, bungeni kila likitokea jambo wanatoka bungeni wanaenda kupumzika mahotelini, kipindi cha corona walitoka bungeni yani kuna uwoga waliiujaza moyoni, wananchi tumechishwa pia na njia zao za kukimbia bunge
Huna lolote. Sema tu wazi kwmba wewe mnufaika wa CCM. Eti Nchi yako Tanzania? Kuna chama cha upinzani kiko Tanzania kimetokea Lebanon?Mkuu kwanza pole na kumradhi kwa kukukwaza. Yawezekana TUJITEGEMEE wa jukwaa la kimataifa akaonekana tofauti katika majukwaa mengine. Ukweli ni TUJITEGEMEE yuleyule.
Hata hivyo, linapokuja suala la nchi yangu Tanzania ( sina Tanzania nyingine, sina mbadala wa Tanzania) na Afrika kwa ujumla niko tayari kuitwa majina yoyote kama ni suala la kuitetea Tanzania, watanzania, Afrika na waafrika na wote wenye kujali utu ulimwenguni!! Siwezi kuona aibu katika hili. Hivyo, ninaomba uniwie radhi katika hilo pia.
Naitamani Tanzania imara kimaendeleo katika nyanja zote na Tanzania itakayoendelea kuwepo! Yeyote anayetamani Tanzania isiwepo ama irudi nyuma kimaendeleo awe tayari kuniita majina anayotaka, kwa sababu sitakubaliana naye na sitaona aibu katika hilo.
Tuendelee na mjadala Mkuu.
Hicho kiapo chako ukikumbuke hata pale wewe itakapotokea ukamhitaji mtu wa CCM kwa msaadawamebaki wabunge wa Yes Yes Yes yes mpaka mwisho hata kama umtie dole la kati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] , Yan ajitokeze mtu wa ccm yeyote kukopa hela ntamsokomeza jiti la mkundu, yan twende kibubu bubu hivyo hivyo kama walivyofanya usenge wao na ndio unaenda kutukost
Nimepitia kwa kusoma na kuelewa ilani za vyama vitatu vya siasa ambavyo vilionyesha ushindani katika kampeni! Maelezo niliyoyatoa juu ya Tanzania yamejengwa katika msingi huo.Huna lolote. Sema tu wazi kwmba wewe mnufaika wa CCM. Eti Nchi yako Tanzania? Kuna chama cha upinzani kiko Tanzania kimetokea Lebanon?