Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

So mkuu sasa Tanzania inaenda kua Ulaya kwa sababu ccm imejijenga.... Hii ni aibu kwa Tanzania na ni aibu kwa watanzania..... Waoneeni huruma ndugu zenu, watoto wenu nk. We are done. Imeniuma sanaa CCM chama changu ila kwenye hili hapana
 
babako na mamako usiwaamulie chama. Wamekusomesha kwa hela za sisiemu huwezi wabadili
Hela za CCM how?
I've never studied in any government school or university na wao hawajawahi kuwa waajiriwa wa serikali.

Akili za nyuma hizi shida sana 😏
 
Eti nchi imeamka na huzuni. Tukubali hili ni taifa la ng'ombe! Wewe watu hawajui who printed ballot papers! makaratasi ya kura yametapakaa kila mahali halafu watu seriously kabisa wanasubiri matokea!
 
Ila wapinzani nao wametia dosari sana hasa kile kipindi wanatoka bungeni na kususia vikao wananchi nasi tunachoka na njia hii ya kususia, tunawachagua wa kututete bungeni wao wanatoka bungeni
Sasa hutowaona tena wakitoka nje. Umefurahi?.
 
Ila wapinzani nao wametia dosari sana hasa kile kipindi wanatoka bungeni na kususia vikao wananchi nasi tunachoka na njia hii ya kususia, tunawachagua wa kututete bungeni wao wanatoka bungeni
Hoja hafifu
 
Hamna haja ya kufanya uchaguzi tena....wapeane vijiti tu...akichoka ampe anayempenda...wasitumie kodi zetu vibaya kufanya uchaguzi...wafute vyama vyote kibaki kimoja tu...kila mtu apambane na hali yake
 
Walioamka na huzuni ni wapenzi wa jinsia moja, siyo nchi!

Ukweli ni kuwa idadi kubwa ya wapinzani haikutoka kupiga kura kwa sababu walijua ni kupoteza muda. Hebu fikiria daftari la wapiga kura 1000 wanajitokeza 400 tu hao wengine wako wapi?. Mnajipitisha tunawacheck tu. Tena nawakalili vema sana ili niwajue nione maisha yao miaka mitano ijayo yatakuwaje.
 
Wacha uongo hiyo huzuni kwiyo😂😂
 
Ushindani mkubwa kinyang'anyiro sasa ni nani mahiri zaidi kwevye kusema 'ndiooooooooooooo...' na kupiga meza kwa nguvu zaidi.
 
KIGOMA KIGOMA KIGOMA CCM Upumbavu wenu huko huko huku ni mwisho Kenge nyie.
He is back.
Zitooooooooooooooooooo.
 
Sidhani Kama wewe waweza kuwa mzalendo kumshinda Hayati Mkapa,ama kumshinda Mh Kikwete.

Kabla ya Mkapa kufa alianza kuona atahari za Joni na Kikwete anaziona athari za Joni.

Sidhani Kama Kikwete anafurahi yanayoendelea.

Na ndio maana ya like neno Wastaafu waache kuwashwawashwa.

Uzalendo sio kuchukia Mawazo mbadala.

Wapinzani Ni Watanzania Kama wewe ila wenye mitazamo tofaauti na CCm.

Inawezekana wapinzani wa CCM Ni wazalendo zaidi kuliko CCM.
 
Siyo kwamba naukubali upinzani kwa asilimia mia,ila kukosekana kwa upinzania ni hatari mara mia moja ya kuwepo kwa upinzani, tutegemee upinzania mzito utakaoibuka sasa zaidi ya upinzani wa kususia bunge na kupiga makelele majukwaani,nchi imejiingiza katika mitihani mizito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…