OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So mkuu sasa Tanzania inaenda kua Ulaya kwa sababu ccm imejijenga.... Hii ni aibu kwa Tanzania na ni aibu kwa watanzania..... Waoneeni huruma ndugu zenu, watoto wenu nk. We are done. Imeniuma sanaa CCM chama changu ila kwenye hili hapanaMsisingizie wïzi, maneno ya jpm na majaliwa ktk kampeni kuwa raia wanajichelewesha wenyewe na wao jpm na majaliwa wanataka connection ndio maneno chachu kwa wananchi. Wànanchi wamechagua maendeleo.
Mengine ni visingizio, ktk mkutano wa mbowe hai wananchi wa haî wanampiga maswali mazito mbowe anasingizia wametumwa, hii ngoma wapizaní wamelala. Watumie muda huu kujipanga.
Kwa bungeni ni upinzaní gani tutaumiss zaidi ya kugomea bajeti?
Màjimboni ni nini tutamiss wàkati hawajawã na mchango?
Tusikariri kuwa piga ua lazima wawepo wapinzani mia bungeni, zîto amekua na hoja zaidi ya wabunge wote wa upinzani.
Hela za CCM how?babako na mamako usiwaamulie chama. Wamekusomesha kwa hela za sisiemu huwezi wabadili
Sasa hutowaona tena wakitoka nje. Umefurahi?.Ila wapinzani nao wametia dosari sana hasa kile kipindi wanatoka bungeni na kususia vikao wananchi nasi tunachoka na njia hii ya kususia, tunawachagua wa kututete bungeni wao wanatoka bungeni
Hoja hafifuIla wapinzani nao wametia dosari sana hasa kile kipindi wanatoka bungeni na kususia vikao wananchi nasi tunachoka na njia hii ya kususia, tunawachagua wa kututete bungeni wao wanatoka bungeni
Walioamka na huzuni ni wapenzi wa jinsia moja, siyo nchi!
Umetumwa eehh?Magufuli anakwenda kuwa Rais, Rais hadi kifo kimtenganishe na Urais.
Wacha uongo hiyo huzuni kwiyo😂😂This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT kutoka Pemba kuingia bunge wa JMT, ila napo it depends na kama watakubali au itakuwa kama last time.
Kwa hakika ni uzuni. na wananchi tusishangilie hili. Nchi imeingia katika majaribio makubwa sana. kwa wale slow learners mtaanza kuona madhara yake not even far just 2022.
Nidiriki kusema haijawa njia sahihi na sio afya kwa demokrasia. Mapungufu na wizi ulikuwepo wa kiwango cha juu sana sana. Anyway, tumerudi nyuma hatua 30 katika demokrasia aliyotuachia Baba wa Taifa na Mzee Kikwete.
Hata Mwalimu Nyerere alikuwa anarusu fairness na amekuwa na wabunge wa upinzani before Chama kimoja. Mwinyi naye. Mkapa naye na Kikwete naye. Ila hii ya wabunge wote kutoka bara kuwa CCM... Duuuuh!. kweli tunatofautiana fikra
😂😂😂😂😂😂😂Ndio utajua wa Tanzania ni waoga kias gan mtu kama anaogopa kupita makabulini unazani anaweza kuchukua hatua yoyote juu ya hili linaloendelea
Ni jambo jema.
Maigizo yataisha Bungeni.
Kilichobaki ni kura za ndio kubadili katiba!Magufuli anakwenda kuwa Rais, Rais hadi kifo kimtenganishe na Urais.
Sidhani Kama wewe waweza kuwa mzalendo kumshinda Hayati Mkapa,ama kumshinda Mh Kikwete.Mkuu kwanza pole na kumradhi kwa kukukwaza. Yawezekana TUJITEGEMEE wa jukwaa la kimataifa akaonekana tofauti katika majukwaa mengine. Ukweli ni TUJITEGEMEE yuleyule.
Hata hivyo, linapokuja suala la nchi yangu Tanzania ( sina Tanzania nyingine, sina mbadala wa Tanzania) na Afrika kwa ujumla niko tayari kuitwa majina yoyote kama ni suala la kuitetea Tanzania, watanzania, Afrika na waafrika na wote wenye kujali utu ulimwenguni!! Siwezi kuona aibu katika hili. Hivyo, ninaomba uniwie radhi katika hilo pia.
Naitamani Tanzania imara kimaendeleo katika nyanja zote na Tanzania itakayoendelea kuwepo! Yeyote anayetamani Tanzania isiwepo ama irudi nyuma kimaendeleo awe tayari kuniita majina anayotaka, kwa sababu sitakubaliana naye na sitaona aibu katika hilo.
Tuendelee na mjadala Mkuu.