Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Ila poa pamoja na siipendi CCM acha tu wabunge wa upinzani wapumzike kwanza maana wanatakiwa wajifunze hakunaga siasa ya kususasusa, bungeni kila likitokea jambo wanatoka bungeni wanaenda kupumzika mahotelini, kipindi cha Corona walitoka bungeni yani kuna uwoga waliiujaza moyoni, wananchi tumechishwa pia na njia zao za kukimbia bunge
 
Hii inawezekana.

Kwakua waliojitokeza kupiga kura walikua wachache mno. Unaenda kupiga kura unakuta askari wapo kwenye difenda wanapiga stori, hakuna wa kumkamata wala kutuliza vurugu.

So inawezekana hivyo kwamba wamepita ndiyo ila wachaguaji walikua wachache. Kuingiza watu barabarani? Mwitikio wa watu kwenda barabarani utatoa picha kama kweli wapinzani walipigiwa kura nyingi za kustahili ushindi ama la..
 
Back
Top Bottom