cyrustheemperor
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 293
- 354
Matokeo ya uchaguzi kila mahali yanaonesha hakuna mtu anaipenda CCM ni swala LA muda tu CCM itabaki kwenye historia.Wizi huu utakuja kuwatafuna wenyewe mwishoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uchaguzi umefanyika ndo imetokea hvoThis is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT kutoka Pemba kuingia bunge wa JMT, ila napo it depends na kama watakubali au itakuwa kama last time.
Kwa hakika ni uzuni. na wananchi tusishangilie hili. Nchi imeingia katika majaribio makubwa sana. kwa wale slow learners mtaanza kuona madhara yake not even far just 2022.
Nidiriki kusema haijawa njia sahihi na sio afya kwa demokrasia. Mapungufu na wizi ulikuwepo wa kiwango cha juu sana sana. Anyway, tumerudi nyuma hatua 30 katika demokrasia aliyotuachia Baba wa Taifa na Mzee Kikwete.
Hata Mwalimu Nyerere alikuwa anarusu fairness na amekuwa na wabunge wa upinzani before Chama kimoja. Mwinyi naye. Mkapa naye na Kikwete naye. Ila hii ya wabunge wote kutoka bara kuwa CCM... Duuuuh!. kweli tunatofautiana fikra
babako na mamako usiwaamulie chama. Wamekusomesha kwa hela za sisiemu huwezi wabadiliYani sasa hivi ni mwendo wa roho mbaya tu nimegundua hii mizee ni useless hakuna kuisaidia wala kuionea huruma.
Bado tuu una mawazo hayo, mbona uko nyuma sana mzee.?Matokeo ya uchaguzi kila mahali yanaonesha hakuna mtu anaipenda CCM ni swala LA muda tu CCM itabaki kwenye historia.Wizi huu utakuja kuwatafuna wenyewe mwishoni
Siongelei wana CCM hapa, nawaongelea upinzani ambao sisi tuliwaamini na kuwatuma lakini wakafika bungeni na kuanza kususia vikao,Hao CCM Ambao hawatoki walishakutetea??
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu huo unafiki sasaSawa wananchi [emoji23][emoji23]
Hujajibu swaliSiongelei wana CCM hapa, nawaongelea upinzani ambao sisi tuliwaamini na kuwatuma lakini wakafika bungeni na kuanza kususia vikao,
Hivi wewe kama baba wa nyumba mkeo akakosea utamsusia na kununa?
Miaka na miaka yamekua yakisemwa haya mwishowe ndy huku hakuna hata mwakilishi zaidi ya yule mama kule mtwara, maisha yataendelea!Matokeo ya uchaguzi kila mahali yanaonesha hakuna mtu anaipenda CCM ni swala LA muda tu CCM itabaki kwenye historia.Wizi huu utakuja kuwatafuna wenyewe mwishoni
UwiiiiiiiiSasa watawarudishia na Bunge live
Sasa mbona unatokwa na povu, hii ni dhahiri wewe unaonyesha ni namna gani umekengeuka, hoja hujibiwa kwa hoja pasipo kutia kashfa kwa mtoa hoja, tuachane na hilo sasa hizo hoja zako zina kaa kweli kwenye mzani ukilinganisha na matokeo tunayoyapata leo? Matokeo nchi nzima wamechukua ccm hata kama ni kuiba wameibaje majimbo yote kata zote, zinduka we kilaza, wananchi wanachoka kuona tunawatuma viongozi wa upinzani na kususia vikao, pia vyama vya upinzani kuna adhabu za kipuzi sana kwa wanachama wao, ndani vyama vya upinzani hakuna demokrasiaBado una akili fupi za kitoto sana kisiasa.
Fuatilia mabunge ya kidemokrasia duniani ndio utajua wabunge hufanya nini. Usikaririshwe ujinga kuwa eti mbunge kukaa ndani ya bunge ndio kukutetea!
Kutoka nje bungeni ni njia mojawapo ya kuwatetea watu kwa kuonyesha kutokukubaliana au kutokuridhishwa na mwenendo wa kibunge juu ya jambo fulani.
Katika mabunge ya jumuiya ya madola, wabunge wanaweza kushinikiza hoja zao kwa njia mbalimbali, ikiwemo kutoa hoja, kupiga kura, kushangilia, kuzomea, kupiga kelele, kutoka nje nk.
Mkiona hoja zenu hazipewi nafasi, kura zenu haziwezi kutosha na kupiga kelele hakutoshi, basi kususia kikao na kutoka nje ni njia muafaka.
Mkuu mimi sio mwana CCM nimejaribu kusema tubapokosea upinzani, tatizo sisi vyama vyetu kuanzia viongozi, wanachama hatupendi kukosoleaSasa mumebaki ccm peke yenu bungeni ngoja tuone matunda ya hilo bunge. Acha kubweka bure kabisa
Yetu machoHuku kwetu Kawe hakuna huzuni, ni full shangwe. Watu tulishajichokea makelele, na kuogelea kwenye maji machafu mitaani kila mvua ikinyesha. Tunataka barabara za lami mitaani na kukomeshwa kwa mafuriko. Na mbunge anayeonekana live jimboni, sio kupitia luninga akiwa kwenye migomo au mahakamani.
Litakuwa kama hivi, kila anaesimama:Hilo bunge najaribu kuwaza tu litakuaje