Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Matokeo ya uchaguzi kila mahali yanaonesha hakuna mtu anaipenda CCM ni swala LA muda tu CCM itabaki kwenye historia.Wizi huu utakuja kuwatafuna wenyewe mwishoni
 
This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT kutoka Pemba kuingia bunge wa JMT, ila napo it depends na kama watakubali au itakuwa kama last time.

Kwa hakika ni uzuni. na wananchi tusishangilie hili. Nchi imeingia katika majaribio makubwa sana. kwa wale slow learners mtaanza kuona madhara yake not even far just 2022.

Nidiriki kusema haijawa njia sahihi na sio afya kwa demokrasia. Mapungufu na wizi ulikuwepo wa kiwango cha juu sana sana. Anyway, tumerudi nyuma hatua 30 katika demokrasia aliyotuachia Baba wa Taifa na Mzee Kikwete.

Hata Mwalimu Nyerere alikuwa anarusu fairness na amekuwa na wabunge wa upinzani before Chama kimoja. Mwinyi naye. Mkapa naye na Kikwete naye. Ila hii ya wabunge wote kutoka bara kuwa CCM... Duuuuh!. kweli tunatofautiana fikra
Sasa uchaguzi umefanyika ndo imetokea hvo
 
Tunasubiri kawe na arusha mjini ili sisi CCM tumalize kazi
 
Matokeo ya uchaguzi kila mahali yanaonesha hakuna mtu anaipenda CCM ni swala LA muda tu CCM itabaki kwenye historia.Wizi huu utakuja kuwatafuna wenyewe mwishoni
Bado tuu una mawazo hayo, mbona uko nyuma sana mzee.?
 
Hao CCM Ambao hawatoki walishakutetea??
Siongelei wana CCM hapa, nawaongelea upinzani ambao sisi tuliwaamini na kuwatuma lakini wakafika bungeni na kuanza kususia vikao,

Hivi wewe kama baba wa nyumba mkeo akakosea utamsusia na kununa?
 
Acha binadamu tu hata mungu ana mpinzani Shetani ila kwa hali hii daah tumechamba sana tumerudi karne ya 19.
 
Matokeo ya uchaguzi kila mahali yanaonesha hakuna mtu anaipenda CCM ni swala LA muda tu CCM itabaki kwenye historia.Wizi huu utakuja kuwatafuna wenyewe mwishoni
Miaka na miaka yamekua yakisemwa haya mwishowe ndy huku hakuna hata mwakilishi zaidi ya yule mama kule mtwara, maisha yataendelea!
 
Bado una akili fupi za kitoto sana kisiasa.
Fuatilia mabunge ya kidemokrasia duniani ndio utajua wabunge hufanya nini. Usikaririshwe ujinga kuwa eti mbunge kukaa ndani ya bunge ndio kukutetea!

Kutoka nje bungeni ni njia mojawapo ya kuwatetea watu kwa kuonyesha kutokukubaliana au kutokuridhishwa na mwenendo wa kibunge juu ya jambo fulani.

Katika mabunge ya jumuiya ya madola, wabunge wanaweza kushinikiza hoja zao kwa njia mbalimbali, ikiwemo kutoa hoja, kupiga kura, kushangilia, kuzomea, kupiga kelele, kutoka nje nk.

Mkiona hoja zenu hazipewi nafasi, kura zenu haziwezi kutosha na kupiga kelele hakutoshi, basi kususia kikao na kutoka nje ni njia muafaka.
Sasa mbona unatokwa na povu, hii ni dhahiri wewe unaonyesha ni namna gani umekengeuka, hoja hujibiwa kwa hoja pasipo kutia kashfa kwa mtoa hoja, tuachane na hilo sasa hizo hoja zako zina kaa kweli kwenye mzani ukilinganisha na matokeo tunayoyapata leo? Matokeo nchi nzima wamechukua ccm hata kama ni kuiba wameibaje majimbo yote kata zote, zinduka we kilaza, wananchi wanachoka kuona tunawatuma viongozi wa upinzani na kususia vikao, pia vyama vya upinzani kuna adhabu za kipuzi sana kwa wanachama wao, ndani vyama vya upinzani hakuna demokrasia
 
Hii ni dalili ya watu kuchoka kuongea na kuumia, wamekuachia sas fanya unachotaka.
Na nliona dalili mapema sana.

Wambunge njooni bungeni haraka sana!
#ndiyo mkuu 100%
Mwezi huu hatuna fedha mtuvumilie miezi kadhaa
#ndiyo mkuu 100%

Ilan ya chama itajadiliwa sas bungeni
Hakutakuwa na tofauti ya bunge na kikao cha chama.

#_Picha ninayoona kwa mbali!
 
Sasa mumebaki ccm peke yenu bungeni ngoja tuone matunda ya hilo bunge. Acha kubweka bure kabisa
Mkuu mimi sio mwana CCM nimejaribu kusema tubapokosea upinzani, tatizo sisi vyama vyetu kuanzia viongozi, wanachama hatupendi kukosolea
 
Huku kwetu Kawe hakuna huzuni, ni full shangwe. Watu tulishajichokea makelele, na kuogelea kwenye maji machafu mitaani kila mvua ikinyesha. Tunataka barabara za lami mitaani na kukomeshwa kwa mafuriko. Na mbunge anayeonekana live jimboni, sio kupitia luninga akiwa kwenye migomo au mahakamani.
Yetu macho
 
Haya mnayo yaona leo ni matokeo ya mtu mmoja Mbowe ya kumleta Lowasa Ukawa,hili lilikuwa bonge la kosa ambalo kwa mtu makini kabisa kwa kosa lile alitakiwa ajihudhuru, ila Mbowe anadunda, untouchable, ukimkosoa humu watu wanakushambulia.
images (23).jpeg


Nilikiwa mwanasiasa kindakindaki wa CHADEMA chuo kuanzia 2009,ila baada ya Lowasa kuingia nilikaa pembeni,nikabezwa,nikapondwa baada ya UKAWA kupata viti vyingi bungeni,ila baada ya wabunge kuanza kurudi CCM ,kuna watu niliwaambia 2020 hali itakuwa mbaya sana na leo tuna yaona.

CHADEMA mlivyo mleta Lowasa UKAWA na kujiamini kwamba mpo imara,kumbe mliacha nyumba yenu mliyokuwa mnaijenga kidogo kidogo kwenye mwamba na kwenda kujenga kwenye mchanga kisa tu kuna urahisi.Sasa angalieni leo mnayo yapata ni haki yenu hamjaibiwa hata kura moja.

CHADEMA mkitaka kusimama tena mnabidi muanze upya mfumue chama chote na mkijenge CHAMA kupitia vijana wenu na watu wenu mlio waandaa nyinyi na si kunyakua wanasiasa kutoka CCM na mnatakiwa kiwaamini watu wenu.
 
Hilo bunge najaribu kuwaza tu litakuaje
Litakuwa kama hivi, kila anaesimama:
  • "Mini naomba nimshukuru Mungu, na naunga mkono hoja zote kuanzia 2020 - 2025."
  • "Pia niongezee, ni bora tubadili katiba ili Magufuli aongezewe muda. Amefanya kazi nzuri sana!"

Mwisho wa kunukuu !
 
Back
Top Bottom