Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors.

Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super market, ngurdoto hotel, biashara za akina mbowe kama.bilcanas. kariakoo watu wanafunga maduka daily mpaka watu wakakimbia nchi kama manji, lisu, lema, mbowe hata mo alitala kukimbiwa ila alitekwa kisa alimsponsor lisu wakati wa campain.

E mungu tukupe nini kutupa mama huyu
 
Mzunguko ni ulichonacho mfukoni mwako au unaokota pesa siku hizi?
 
Back
Top Bottom