Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

Mh embu tupe ilipazwa kufutwa na nin na minyororo ama nn manke umeongea as if Kwamba Kuna njia uanzo jinsi ya kunazua hyo ndge Chini ambayo haitatumika tena ktk
Kwahiyo kama haitatumika ndio ivutwe na kamba kweli...?
 
Kamba ya kuvuta sangara inavuta ndege ya abiria shenzi kabisa [emoji706][emoji706][emoji706]
 
kwani zile hela royotua imeleta hatukununua hata ndege na vifaa vya uokozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inchi ina ufakeni mwingi sana
 
Boti za fiber kazi yake ni kufukuzana na wavuvi ziwani kama wapo kwenye mashindano
 
Mh embu tupe ilipazwa kufutwa na nin na minyororo ama nn manke umeongea as if Kwamba Kuna njia uanzo jinsi ya kunazua hyo ndge Chini ambayo haitatumika tena ktk
Issue ni waliovuta na kamba wamesomea hiyo kazi!? Wenye vyeti vyao na ajira wamekuwa watazamaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…