Nchi inaelekea kuwa ngumu sana kwa Rais Samia kuanzia sasa na baada ya 2025

Hapa tz vice ...kazi yake ni kula na kunya tu ndiyo maana jpm alimchagua kuwa vice.

Watoto wadogo ni wengi sana JF nowadays.

Hata kazi ya makam wa Rais na nafas yake hamuijui.

Wengi wenu mnaish Kwa shemeji zenu Kwa migongo ya dada zenu,shida sana
 
Nadhani tumejifunza kwa vitendo tayari.

Ni sawa na mtu alieachiwa Land Rover Defender atoboe nayo kwenye rough terrain ya tope zito akai ditch na kuchukua Passo eti sababu ni gari mpya kuliko defender.
 

Unakifahm kisa Cha Malkia Bilqis,Enz za maisha ya King Solomon??

Mwanamke ana heshima kubwa katika maisha tunayoishi,na ndiyo nguzo ya familia.

Samia so far has done extra ordinary job, best prezoo ever..!!
 
Wewe ni kituko kweli kweli .....kazi ya vice ni hiyo niliyo kuambia usipoteze muda wako bure

Msalimie shemeji Yako hapo maskan,

Maana ndiyo mtaji wako wa kuish town,na ukishiba uje kumkashifu Rais wa nchi,hovyo sana.
 
Nadhani tumejifunza kwa vitendo tayari.

Ni sawa na mtu alieachiwa Land Rover Defender atoboe nayo kwenye rough terrain ya tope zito akai ditch na kuchukua Passo eti sababu ni gari mpya kuliko defender.
Siyo tu kujifunza kwa huyu zuzu mashungi yuliye naye bali mimi nimejifunza toka zamani sana kuwa kuongozwa na mwanamke ni kupoteza wakati au kuharibu mambo kabisa
 
kumbe ndoo lengo lenu ili asingombee sasa tunae mpaka 2030 hutaki hama nchi
 
kumbe ndoo lengo lenu ili asingombee sasa tunae mpaka 2030 hutaki hama nchi

Unajua suala la jamaa Yao kukata kamba mapema wengi wao limewaumiza sana,yaani it's like kama zamu Yao ya kuongoza nchi kama wanavyofikiria,but Kwan kaz ya mungu Ina makosa??

Mungu kampenda Zaid,na Samia kawa blessed to be prezoo, sasa wanaumia na nin??
 
Kuna tofauti kubwa baina ya muislamu na muisiharamu ....muisiharamu ndiyo wanapenda kuongozwa na mwanamke ...kamwe muislamu awezi kuongozwa na mwanamke ni ukafiri

Samia ni president wa nchi,siyo imam Wala Kiongoz wa dini,

Thats why ameapa kuongoza nchi Kwa katiba na siyo Qur an,Kwan ni nchi ya kiislam hii??
 
Mwanamke hajaumbwa kuwa kiongozi hata awe na cheo gani[emoji1787] lazma atasubmit kwa kidume kimuongoze. Hata kama ni mtoto wake wa kiume! Ndio iko hivyo.



Sasa Mbona tangu Uhuru Viongozi ni wanaume lakini bado matatizo ni yale yale?

Hata huduma za msingi imeshindikana kupatikana Kwa uhakika Mwaka mzima kwa kila Mwaka?
Maji ni shida kubwa,
Umeme ni shida kubwa,
Kufikika kwa huduma za jamii za msingi ni shida kubwa,
Vifaa tiba ni shida,
Madawa hospitali ni shida kubwa,
Barabara ni shida kubwa,
Huduma ya Mjamzito na mtoto ni shida kubwa ,
Ajira ni shida kubwa,
N.k.

Je matatizo haya Viongozi wanaume Mbona wameshindwa kuatatua na kutuletea maendeleo?

Mkosoeni kwa haki Kama binadamu wa kawaida lakini sio kwa sababu ya uanawake wake.
 
Swala la viongozi kushindwa kuleta maendeleo ni jambo moja ila swala la kuuza rasilimali za taifa kwa wageni ni jambo jengine. Hakuna kiongozi aliewahi kufanya mkataba wa milele hayupo. Pili mkataba wa kinyonyaji wa kiwango hicho ambacho kina render nchi kuwa powerless against huo mkataba haujawahi kusainiwa mkataba wa hivyo na raisi yeyote before. Kwanza tulitakiwa tuachane na hizo biashara kabisa maana tulishafunguliwa macho kwa kiwango kikubwa awamu iliopita.
 
Nimemchoka.
 
Kama kuna kipindi Rushwa na Ufisadi vimetamaliki basi ni awamu hii ya sita...

Kwanza watu hawaogopi yeyote, hakuna PCCB wala nani ni mwendo wa 10% tu.......

Ukipata gep piga hela tembea...hakuna wa kufuatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…