Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Sio Kila mtu anakunywa bia ila hakuna mtu asiyekula chakula.Ona hili jinga! Bia unanunua 3000 inategenezwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Kila mtu anakunywa bia ila hakuna mtu asiyekula chakula.Ona hili jinga! Bia unanunua 3000 inategenezwa wapi?
Kwa nini usilime sasa km unajua umuhimu wa kula..? Hizi akili ndio zinaleta umasikini vijijiniSio Kila mtu anakunywa bia ila hakuna mtu asiyekula chakula.
Wote tukilima nani atanunua?Kwa nini usilime sasa km unajua umuhimu wa kula..? Hizi akili ndio zinaleta umasikini vijijini
Wote wakilima, shughuli zingine za kijamii zitafanywa na Nani?Kwa nini usilime sasa km unajua umuhimu wa kula..? Hizi akili ndio zinaleta umasikini vijijini
Kwenye kuuza nchi labda. Mwanamke hawezi ongoza nchi imeisha hiyoo .Acha imani potofu kuhusu wanawake.
Samia amemzidi mbali sana Magufuli
Sasa ninakaribia miaka 65 je nikifikisha 75 mwaka 2030 si nitauza jiji la Dar!!!Nimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari.
Nimewasikia baadhi ya watumishi wa serikali wakisema, “hiki ni kipindi cha mteremko, ni wakati wa kupiga hela”.
Kuna hisia za nchi “kupigwa mnada”. Hili limekuwa doa kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa rais Samia na pengine kwa kipindi chote cha uongozi wake, ambao pengine ukaishia 2025 au mapema!
Wananchi wameonesha waziwazi hofu yao dhidi ya mkataba wa bandari zetu lakini hata hivyo serikali haijaonesha utayari wa kuondoa hofu hii.
Viongozi wa serikali wametumia wakati huu kutekeleza utaratibu usio na tija kwa taifa. Mfano zuio la kuuza chakula nje ya nchi limetokea ghafla malori yakiwa tayari mpakani na wafanyabiashara wanalalamika hasara kubwa. Bei ya mahindi mikoa ya kusini imeshuka ghafla kutoka 75,000 hadi 25,000 kwa gunia na wakulima wamekata tamaa. Wanepoteza imani kwa uongozi wa nchi.
Udini na Uzanzibari vinetawala leo na wengi waneonesha kutokuwa na imani na muungano. Hakuna wakati muungano wetu umebezwa kama katika kipindi hiki kifupi cha June 2023. Mpaka wamesikika viongozi wakubwa kutoka Zanzibar wakisema basi ikibidi “tugawane mbao”.
Msururu wa mikataba yenye hisia za “kupigwa” ndio jambo kubwa linalotawala kwasasa. Kwa kiasi kikubwa sana imani ya watanzania kwa rais Samia imeshuka sana. Watu wengi mtaani wanahoji uwezo wa rais Samia kuongoza nchi yetu.
Tunapoelekea 2025 tutarajie hali ngumu zaidi kwa uongozi wa rais Samia kwani wapo walio pamoja nae katika uongozi lakini wana hamu ya kuona anashindwa ili wapate nafasi ya kuongoza.
Mambo mengi serikalini hayaendi vizuri na maafisa wengi wa serikali wanafurahia kipindi hiki cha “mteremko” , wafanyakazi wengi serikalini wamerelax na wamerudi kufanya kazi kwa mazoea kwani wana uhakika wa kutowajibishwa.
Rais Samia anahitaji busara na hekima za hali ya juu. Nahisi kwamba kuna wakati itabidi awe mbabe kama mtangulizi wake ili kuleta adabu nchini. Lakini hataweza kuyafanya hayo pasipo kuharibu heshima na haiba yake machoni pa watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Akuvushe uende wapi?Hakuna kazi isiyo na changamoto, Tunapishana uelewa wa mambo tu, kuhusu upigaji ni hulka ya watu na hili lipo katika zama zote, sio makanisani wala misikitini wapigaji wapo
Tuzidi kuwaombea viongozi wetu ili watuvushe salama
HeheeheNdio wanavyojidanganya na kumdanganya huyo maza ndio maana yupo kimya anasikilizia.
Ila hili la bandari halitapoa.
Mtaani kuna watu wengi wamesoma na hawana ajira wapo mtaani wamepigika vibaya.
Wana hasira mno kuona namna wakubwa wanavyojipigia tu huku wao wakiteseka.
Zile zama za kudanganyana hazipo tena.
Mshaambiwa bandari watu wanataka efficiency ya kaziNdio wanavyojidanganya na kumdanganya huyo maza ndio maana yupo kimya anasikilizia.
Ila hili la bandari halitapoa.
Mtaani kuna watu wengi wamesoma na hawana ajira wapo mtaani wamepigika vibaya.
Wana hasira mno kuona namna wakubwa wanavyojipigia tu huku wao wakiteseka.
Zile zama za kudanganyana hazipo tena.
Mama anaijua Siasa.Nimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari.
Nimewasikia baadhi ya watumishi wa serikali wakisema, “hiki ni kipindi cha mteremko, ni wakati wa kupiga hela”.
Kuna hisia za nchi “kupigwa mnada”. Hili limekuwa doa kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa rais Samia na pengine kwa kipindi chote cha uongozi wake, ambao pengine ukaishia 2025 au mapema!
Wananchi wameonesha waziwazi hofu yao dhidi ya mkataba wa bandari zetu lakini hata hivyo serikali haijaonesha utayari wa kuondoa hofu hii.
Viongozi wa serikali wametumia wakati huu kutekeleza utaratibu usio na tija kwa taifa. Mfano zuio la kuuza chakula nje ya nchi limetokea ghafla malori yakiwa tayari mpakani na wafanyabiashara wanalalamika hasara kubwa. Bei ya mahindi mikoa ya kusini imeshuka ghafla kutoka 75,000 hadi 25,000 kwa gunia na wakulima wamekata tamaa. Wanepoteza imani kwa uongozi wa nchi.
Udini na Uzanzibari vinetawala leo na wengi waneonesha kutokuwa na imani na muungano. Hakuna wakati muungano wetu umebezwa kama katika kipindi hiki kifupi cha June 2023. Mpaka wamesikika viongozi wakubwa kutoka Zanzibar wakisema basi ikibidi “tugawane mbao”.
Msururu wa mikataba yenye hisia za “kupigwa” ndio jambo kubwa linalotawala kwasasa. Kwa kiasi kikubwa sana imani ya watanzania kwa rais Samia imeshuka sana. Watu wengi mtaani wanahoji uwezo wa rais Samia kuongoza nchi yetu.
Tunapoelekea 2025 tutarajie hali ngumu zaidi kwa uongozi wa rais Samia kwani wapo walio pamoja nae katika uongozi lakini wana hamu ya kuona anashindwa ili wapate nafasi ya kuongoza.
Mambo mengi serikalini hayaendi vizuri na maafisa wengi wa serikali wanafurahia kipindi hiki cha “mteremko” , wafanyakazi wengi serikalini wamerelax na wamerudi kufanya kazi kwa mazoea kwani wana uhakika wa kutowajibishwa.
Rais Samia anahitaji busara na hekima za hali ya juu. Nahisi kwamba kuna wakati itabidi awe mbabe kama mtangulizi wake ili kuleta adabu nchini. Lakini hataweza kuyafanya hayo pasipo kuharibu heshima na haiba yake machoni pa watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Kama haya ni maoni basi sawa...ila kama huu ni ushauri kwa samia basi nakushauri usipoteze muda wako kushauri wapumbavuNimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari.
Nimewasikia baadhi ya watumishi wa serikali wakisema, “hiki ni kipindi cha mteremko, ni wakati wa kupiga hela”.
Kuna hisia za nchi “kupigwa mnada”. Hili limekuwa doa kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa rais Samia na pengine kwa kipindi chote cha uongozi wake, ambao pengine ukaishia 2025 au mapema!
Wananchi wameonesha waziwazi hofu yao dhidi ya mkataba wa bandari zetu lakini hata hivyo serikali haijaonesha utayari wa kuondoa hofu hii.
Viongozi wa serikali wametumia wakati huu kutekeleza utaratibu usio na tija kwa taifa. Mfano zuio la kuuza chakula nje ya nchi limetokea ghafla malori yakiwa tayari mpakani na wafanyabiashara wanalalamika hasara kubwa. Bei ya mahindi mikoa ya kusini imeshuka ghafla kutoka 75,000 hadi 25,000 kwa gunia na wakulima wamekata tamaa. Wanepoteza imani kwa uongozi wa nchi.
Udini na Uzanzibari vinetawala leo na wengi waneonesha kutokuwa na imani na muungano. Hakuna wakati muungano wetu umebezwa kama katika kipindi hiki kifupi cha June 2023. Mpaka wamesikika viongozi wakubwa kutoka Zanzibar wakisema basi ikibidi “tugawane mbao”.
Msururu wa mikataba yenye hisia za “kupigwa” ndio jambo kubwa linalotawala kwasasa. Kwa kiasi kikubwa sana imani ya watanzania kwa rais Samia imeshuka sana. Watu wengi mtaani wanahoji uwezo wa rais Samia kuongoza nchi yetu.
Tunapoelekea 2025 tutarajie hali ngumu zaidi kwa uongozi wa rais Samia kwani wapo walio pamoja nae katika uongozi lakini wana hamu ya kuona anashindwa ili wapate nafasi ya kuongoza.
Mambo mengi serikalini hayaendi vizuri na maafisa wengi wa serikali wanafurahia kipindi hiki cha “mteremko” , wafanyakazi wengi serikalini wamerelax na wamerudi kufanya kazi kwa mazoea kwani wana uhakika wa kutowajibishwa.
Rais Samia anahitaji busara na hekima za hali ya juu. Nahisi kwamba kuna wakati itabidi awe mbabe kama mtangulizi wake ili kuleta adabu nchini. Lakini hataweza kuyafanya hayo pasipo kuharibu heshima na haiba yake machoni pa watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Akufae asikufae huna cha kumfanya...Rais anayejificha wakati wa changamoto hatufai, hawezi kuwa Amiri Jeshi mkuu huyo.
December mbali sana.Wewe labda Tanzania umehamia jana, hizo kelele za watanzania mitandaoni isikupe pressure ni nguvu za soda tu..........hata kabla ya December tutakua tunedandia tukio jingine.
Haumpunguzii madaraka yake.Hakuna Rais pale ni kama pazia tu mpuuzi sana huyu mzanzibar
Masikini mnapojifarijiPamoja na watetezi wote wa kile kinachoendelea tena kwa makusudi wakitumia mamlaka tuliyowakabidhi kwa jeuri, kiburi na fedhuli ndiye atakuwa rais wa kwanza tangu nchi hii iwe huru kuvuliwa kinga na kushitakiwa kama raia yeyote yule kwa makosa yasiyodhaminika.
1. Hasira ya Mungu haipimiki kwa viganja vya mikono
2. Jeuri ya viongozi wa umma kwa wananchi ina ukomo na vitendo visivyomithilika
3. Kujali pesa kwa ajili ya familia zao huku raia akibangaiza haikubaliki popote
4.Uporaji viwanja kwa wananchi sehemu mbalimbali za nchi kupitia matajiri, wawekezaji na watumishi wasio waaminifu haikubaliki popote
Anguko la uflme linakuja kama dhoruba na tufali bahari watashika nyasi zinazoelea lakini hazitawaokoa kamwe
Mwisho wenu nyie ni hapa kwenye keyboard tu.Kazi ni kubwa kwa uwezo wake, busara ni kutoendelea baada ya 2025 aggregate ya matokeo ya kazi ameleta uharibifu mkubwa ndani ya muda mfupi, kuliko mazuri.
‘Bi Tozo’ must go kwa faida yake mwenyewe na watanzania; kudra za mwenyezi mungu ziwe mwisho 2025 voluntarily.
Mfurahishwe, msifurahishwe haimhusu.Acha yamshinde aende zake, maana kimsingi UONGOZI UMEMSHINDA; watanganyika hatufurahishwi na anayoyafanya na tunamuomba Mungu / Allah aingilie kati.