Mtuturas
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 456
- 867
Acha ufala basi we chokokila ya mabindi ni80000 NRFA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ufala basi we chokokila ya mabindi ni80000 NRFA
Unaweka picha ya nchi nyingine ili iweje wewe nyumbu?
Pamoja na watetezi wote wa kile kinachoendelea tena kwa makusudi wakitumia mamlaka tuliyowakabidhi kwa jeuri, kiburi na fedhuli ndiye atakuwa rais wa kwanza tangu nchi hii iwe huru kuvuliwa kinga na kushitakiwa kama raia yeyote yule kwa makosa yasiyodhaminika.Nimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari.
Nimewasikia baadhi ya watumishi wa serikali wakisema, “hiki ni kipindi cha mteremko, ni wakati wa kupiga hela”.
Kuna hisia za nchi “kupigwa mnada”. Hili limekuwa doa kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa rais Samia na pengine kwa kipindi chote cha uongozi wake, pengine ukaishia 2025 au mapema!
Wananchi wameonesha waziwazi hofu yao dhidi ya mkataba wa bandari zetu lakini hata hivyo serikali haijaonesha utayari wa kuondoa hofu hii.
Viongozi wa serikali wametumia wakati huu kutekeleza utaratibu usio na tija kwa taifa. Mfano zuio la kuuza chakula nje ya nchi limetokea ghafla malori yakiwa tayari mpakani na wafanyabiashara wanalalamika hasara kubwa. Bei ya mahindi mikoa ya kusini imeshuka ghafla kutoka 75,000 hadi 25,000 kwa gunia na wakulima wamekata tamaa. Wanepoteza imani kwa uongozi wa nchi.
Udini na Uzanzibari vinetawala leo na wengi waneonesha kutokuwa na imani na muungano. Hakuna wakati muungano wetu umebezwa kama katika kipindi hiki kifupi cha June 2023. Mpaka wamesikika viongozi wakubwa kutoka Zanzibar wakisema basi ikibidi “tugawane mbao”.
Msururu wa mikataba yenye hisia za “kupigwa” ndio jambo kubwa linalotawala kwasasa. Kwa kiasi kikubwa sana imani ya watanzania kwa rais Samia imeshuka sana. Watu wengi mtaani wanahoji uwezo wa rais Samia kuongoza nchi yetu.
Tunapoelekea 2025 tutarajie hali ngumu zaidi kwa uongozi wa rais Samia kwani wapo walio pamoja nae katika uongozi lakini wana hamu ya kuona anashindwa ili wapate nafasi ya kuongoza.
Mambo mengi serikalini hayaendi vizuri na maafisa wengi wa serikali wanafurahia kipindi hiki cha “mteremko” , wafanyakazi wengi serikalini wamerelax na wamerudi kufanya kazi kwa mazoea kwani wana uhakika wa kutowajibishwa.
Rais Samia anahitaji busara na hekima za hali ya juu. Nahisi kwamba kuna wakati itabidi awe mbabe kama mtangulizi wake ili kuleta adabu nchini. Lakini hataweza kuyafanya hayo pasipo kuharibu heshima na haiba yake machoni pa watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Acha yamshinde aende zake, maana kimsingi UONGOZI UMEMSHINDA; watanganyika hatufurahishwi na anayoyafanya na tunamuomba Mungu / Allah aingilie kati.Nimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari.
Nimewasikia baadhi ya watumishi wa serikali wakisema, “hiki ni kipindi cha mteremko, ni wakati wa kupiga hela”.
Kuna hisia za nchi “kupigwa mnada”. Hili limekuwa doa kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa rais Samia na pengine kwa kipindi chote cha uongozi wake, pengine ukaishia 2025 au mapema!
Wananchi wameonesha waziwazi hofu yao dhidi ya mkataba wa bandari zetu lakini hata hivyo serikali haijaonesha utayari wa kuondoa hofu hii.
Viongozi wa serikali wametumia wakati huu kutekeleza utaratibu usio na tija kwa taifa. Mfano zuio la kuuza chakula nje ya nchi limetokea ghafla malori yakiwa tayari mpakani na wafanyabiashara wanalalamika hasara kubwa. Bei ya mahindi mikoa ya kusini imeshuka ghafla kutoka 75,000 hadi 25,000 kwa gunia na wakulima wamekata tamaa. Wanepoteza imani kwa uongozi wa nchi.
Udini na Uzanzibari vinetawala leo na wengi waneonesha kutokuwa na imani na muungano. Hakuna wakati muungano wetu umebezwa kama katika kipindi hiki kifupi cha June 2023. Mpaka wamesikika viongozi wakubwa kutoka Zanzibar wakisema basi ikibidi “tugawane mbao”.
Msururu wa mikataba yenye hisia za “kupigwa” ndio jambo kubwa linalotawala kwasasa. Kwa kiasi kikubwa sana imani ya watanzania kwa rais Samia imeshuka sana. Watu wengi mtaani wanahoji uwezo wa rais Samia kuongoza nchi yetu.
Tunapoelekea 2025 tutarajie hali ngumu zaidi kwa uongozi wa rais Samia kwani wapo walio pamoja nae katika uongozi lakini wana hamu ya kuona anashindwa ili wapate nafasi ya kuongoza.
Mambo mengi serikalini hayaendi vizuri na maafisa wengi wa serikali wanafurahia kipindi hiki cha “mteremko” , wafanyakazi wengi serikalini wamerelax na wamerudi kufanya kazi kwa mazoea kwani wana uhakika wa kutowajibishwa.
Rais Samia anahitaji busara na hekima za hali ya juu. Nahisi kwamba kuna wakati itabidi awe mbabe kama mtangulizi wake ili kuleta adabu nchini. Lakini hataweza kuyafanya hayo pasipo kuharibu heshima na haiba yake machoni pa watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Unaweka picha ya nchi nyingine ili iweje wewe nyumbu?
Ni gunia mkuu kilo ni 800kila ya mabindi ni80000 NRFA
Ndio wanavyojidanganya na kumdanganya huyo maza ndio maana yupo kimya anasikilizia.Huu upepo tu utapita na maisha yataendelea
Ova
Sio kabla ya December inaweza kuwa kabla ya August ila madhara ni makubwa na watanzania wanaendelea kufunguka.Wewe labda Tanzania umehamia jana, hizo kelele za watanzania mitandaoni isikupe pressure ni nguvu za soda tu..........hata kabla ya December tutakua tunedandia tukio jingine.
Sikubaliani na hitimisho hili, pamoja na kwamba kuna mambo ninayokubaliana nayo katika mada nzima.Rais Samia anahitaji busara na hekima za hali ya juu. Nahisi kwamba kuna wakati itabidi awe mbabe kama mtangulizi wake ili kuleta adabu nchini. Lakini hataweza kuyafanya hayo pasipo kuharibu heshima na haiba yake machoni pa watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Mnakuja na mada za kutisha mtazamo mzima wa serikali ukweli ni kwamba muda wenu umekwisha.Nimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari.
Nimewasikia baadhi ya watumishi wa serikali wakisema, “hiki ni kipindi cha mteremko, ni wakati wa kupiga hela”.
Kuna hisia za nchi “kupigwa mnada”. Hili limekuwa doa kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa rais Samia na pengine kwa kipindi chote cha uongozi wake, pengine ukaishia 2025 au mapema!
Wananchi wameonesha waziwazi hofu yao dhidi ya mkataba wa bandari zetu lakini hata hivyo serikali haijaonesha utayari wa kuondoa hofu hii.
Viongozi wa serikali wametumia wakati huu kutekeleza utaratibu usio na tija kwa taifa. Mfano zuio la kuuza chakula nje ya nchi limetokea ghafla malori yakiwa tayari mpakani na wafanyabiashara wanalalamika hasara kubwa. Bei ya mahindi mikoa ya kusini imeshuka ghafla kutoka 75,000 hadi 25,000 kwa gunia na wakulima wamekata tamaa. Wanepoteza imani kwa uongozi wa nchi.
Udini na Uzanzibari vinetawala leo na wengi waneonesha kutokuwa na imani na muungano. Hakuna wakati muungano wetu umebezwa kama katika kipindi hiki kifupi cha June 2023. Mpaka wamesikika viongozi wakubwa kutoka Zanzibar wakisema basi ikibidi “tugawane mbao”.
Msururu wa mikataba yenye hisia za “kupigwa” ndio jambo kubwa linalotawala kwasasa. Kwa kiasi kikubwa sana imani ya watanzania kwa rais Samia imeshuka sana. Watu wengi mtaani wanahoji uwezo wa rais Samia kuongoza nchi yetu.
Tunapoelekea 2025 tutarajie hali ngumu zaidi kwa uongozi wa rais Samia kwani wapo walio pamoja nae katika uongozi lakini wana hamu ya kuona anashindwa ili wapate nafasi ya kuongoza.
Mambo mengi serikalini hayaendi vizuri na maafisa wengi wa serikali wanafurahia kipindi hiki cha “mteremko” , wafanyakazi wengi serikalini wamerelax na wamerudi kufanya kazi kwa mazoea kwani wana uhakika wa kutowajibishwa.
Rais Samia anahitaji busara na hekima za hali ya juu. Nahisi kwamba kuna wakati itabidi awe mbabe kama mtangulizi wake ili kuleta adabu nchini. Lakini hataweza kuyafanya hayo pasipo kuharibu heshima na haiba yake machoni pa watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Muda wa Samia na CCM ndo unakwisha hivyo.Mnakuja na mada za kutisha mtazamo mzima wa serikali ukweli ni kwamba muda wenu umekwisha.
Your time is up. Mbinu zenu za kudanganya akili ya umma na kupotosha mipango ya kiserikali hapo bandarini ndio imefika mwisho.
Tunaweza kupata trilioni 26 kwa kutegemea tu pato la hapo TPA, hizi trilioni 7 za sasa ni matokeo ya wizi wa mafisadi wanaodhaminiwa na viongozi wakuu wastaafu.
Hakuna ugumu wowote kwa Samia kwani anachotaka kufanya ni kuleta mapinduzi makubwa sana ya kiuchumi ambayo hayajawahi kutokea.
Lakini wote tunaelewa kwamba kizuri kina gharama zake. Hata huu uzi wako ni sehemu tu ya gharama za kupambana nazo ili huo uzuri kamili uweze kupatikana.
Mlisema hivyo hivyo tangu awamu ya Mkapa leo imepita miaka 28 CCM inadunda tu.Muda wa Samia na CCM ndo unakwisha hivyo.
Ona hili jinga! Bia unanunua 3000 inategenezwa wapi?Hiyo ya mahindi naunga mkono asilimia 200, haiwezekani kilo ya sembe ninunue 2500 wakat mahindi yanalimwa nchini hata ww ungekuwa Kiongozi ungefanya kama alichoamua Samia.
Wewe unajua wazi kuwa wananchi hawana wabunge. Wengi wanaoitwa wabunge, ni wabunge wa jengo la bunge Dodoma. Hawakuchaguliwa na wananchi, na wala hawajihangaishi na wananchi. Hawawezi kuacha posho ya vikao Dodoma, waende huko kwa wananchi ambako hakuna posho, huku wanajua kuwa hata wananchi hawawataki.Mpuuzi sio Bashe Bali mbunge wako maana Jana Spika kaliweka wazi kawaambia wabunge waende huko majimboni mwao wafuatilie kama serikali inanunua mahindi chini ya elfu 80 warudi watoe taarifa bunge lijadili kama dharura kwa Kukaa kwao kimya Ina maana bei ndio hiyo hiyo serikali.
Huko Njombe, baada ya kadhia hii, kila mkulima anasema aheri kulima parachichi. Kama wakulima wengi wakiamua kukikimbia kilimo cha mahindi, janga lake litakuwa kubwa kuliko lile la bei kubwa lililokuwa limeikumba nchi.Hali hii itazuiaje wakulima kuvutiwa kulima mazao ya biashara kama kahawa, pamba nk ambayo bei yake inatawaliwa na bei ya soko la dunia?
Wakulima wasaidiwe kutafutiwa namna ya kufurahia kazi yao.
Mungu ibariki Tanzania.