Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

Upo sahihi...lakini ili VETA zipige hatua inabidi kwanza tuzikubali kisha ndiyo tuone namna ya kuziboresha ziende kisasa zaidi kama unavyosema!
 
Umeandika vizuri sana...I wish watu wengi wangeelewa hii dhana.
 
Mtu akianzia VETA mpaka aje apate degree ni ana miaka 50, watoto wa vigogo miaka 23 ana masters
Na sikuizi ubavu wanao, unakuta form 4 kapiga div 1 kali,, form 6 ana div 1 yake kali,, chuo GPA yake ni between 3.5-5.0. Akitaka kuomba kazi anaambiwa subiri unawahi wapi,, Anaanza kutafuta professional certificates,, mara CPA, Na vicourse mshenzi vyote vile unavyovionaga as added advantage kwa fani husika kavipiga..

Na kwa kubarikiwa zaidi ana connection ya uhakika ,, maskini tunabaki kulia tu kitaa πŸ˜€πŸ˜€
 
Lazima tufute huu mfumo ovu
 
Mkuu acha makasiriko! VETA wanafundisha skills ukitoka ukajitegemee kwa fani uliyosomea! siyo hayo mashokoro mageni ya kutawala na kutawaliwa.
Hoja ni umeshamuona mwenye div one anaenda VETA? Au FETA. Conclusion ni kwamba wanapenda huko ni vilaza ambao reasoning ni almost zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…