kalooo 25594
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 303
- 195
Ewe mama Peter uliye square Energy is contagious Shakira anasema,Ni kweli mtu hutiwa moyo hata kuungishwa kwa kile anachokifanya kwa maslahi binafsi hata hayo ya kulijenga Taifa kama tu hakuna baya liharibulo taswira ya nchi.
Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani adhi(1500miles times 1500 miles) , uongozi bora(Aristocracy) , siasa Safi(socialism based on characters of the nation) na watu(Thinkers) , Tunahitaji watu wote kuifanya miaka 10 ya mwisho huo Kuwa kama miaka 24 ya msafara Wa Mamba 24 Katika siri ya 2085.
Na hayawi maoni Bali kama yamepitia hatua kwa hatua, 12 ni kujenga msingi ulio imara kwa watu wote.
Yaani Hakuna elimu ya mtu kuyajua mambo yote kwa Mara moja Bali hatua kwa hatua, Na hayawi mwisho ila pale mtu atakapouliza Kuwa lini hata huo mwisho Wa haya mambo ya ajabu?
Uwepo Wa Wakati Wa Tabu kubwa tangu kuwepo kwa Taifa Hilo Ni msafara uliojaa mabonde na milima ili kutengeneza heri Katika kungojea hizo siku, hazikuwa siku kama zile za utimilifu Wa miezi 42 hata Tena 43 ila zitimie Kwanza hizo za pili ndipo tuuone mwisho huo kwa septemba, Katika kura Ile ya heri si kama zile za Uwepo Wa Jina La Mungu Katika Uwepo Wa majira lililovyotukanwa na yule aliyepewa nguvu na ibilisi ili ibilisi aabudiwe kwa hayo yaliyotoka kinywani hata Ile Maana ya maneno ya kuchapwa yanene uharibifu badala ya utii Wa Ile Sheria mama Katika majira ya kustawi kwa mti ule ulio kando ya mto.
Nini kipo kwenye mti huo, Ni ule uzima utokanao na Ile damu ya bwana wetu Yesu kristo hata Inene.
Na watu WA kariakoo kwa maajabu wanapouliza Kuwa ulisema Kuwa mwezi July na August ni mwisho Wa siku 1335 mbona hatuoni chochote na Leo ni 31 August?
Na usingizi unapopaa ndani kunalia Kuwa mwisho ni tarehe 17, Basi hayakuwa hayo ya kuwachukiza ila Ile Sheria ya asili inenapo kwa ajili ya Hilo, Tuna Viongozi wengi hapa Duniani wanahitaji watu ili waweze kutekeleza Uwepo Wa Tanzania ( km za mraba karibu 9.5K) tunayoingojea, Afrika ya mashariki Ina nchi 8, eneo ni 5.4 milioni km za mraba. Ni hatua moja kwenda kwenye hatua 12 za misingi IMara ya Kuwa na Taifa la wenye nguvu Duniani.