Nchi inaliwa na Macartel wachache, nani atawanusuru Watanzania Milioni 60?

Acha kulia lia humu kama kondoo mpumbavu. Mbona wewe unadokoaga chakula jikoni kwa shemeji yako na kuiba kuku, vitunguu na nyanya huko gengeni?

Mwizi ni mwizi tu. Kila mtanzania ni mwizi katika nafasi yake. Potezea na songa mbele.
This is above your paycheck young boy this is for the men.
 
Sema nini, issue ya Rugemalira sio ya kuiongelea leo,
Leo tuongelee mafuta na Umeme,

Huyo dogo kula bata na Rihana haituhusu, kwa sababu ni pesa zake, hata akiamua kutoa 1T kula bata ni zake,

Issue ya IPTL wa kulaumiwa ni kina kikwete na wenzake
Na ndiyo huyo huyo analalamikiwa hadi leo na lile genge lake la cold war ndani ya coridor ndefu za Saigon na gaborone room
 
Rugemarila mzee alikuwaga mtumishi wa benki kuu alipotoka ndiyo akaingia
Kwenye mabiashara tritel nk

Ova
 
Hii nchi ilipofikia haina tofauti na kuku anayetembea huku akiwa hana kichwa.
 
Hii nchi ilipofikia haina tofauti na kuku anayetembea huku akiwa hana kichwa.
Mwanzo nilikua siamini kabisa ila sasa hivi nimeanza kuelewa aisee yaani Msingida alipotoa wazo la Ruzuku na Mama kusema hadharani kuwa jamaa katoa wazo zuri nikajua tushakwisha nimesoma gazeti moja la Nje wanashangaa mafuta kupanda bei Tanzania kwa miezi minne mfululizo...
 
Rugemarila mzee alikuwaga mtumishi wa benki kuu alipotoka ndiyo akaingia
Kwenye mabiashara tritel nk

Ova
Nilikuwa sifahamu kuhusu hilo, ila binafsi nimemfahamu kupitia biashara zake zaidi ya 10 alizonazo.

Shida ya Nchi yetu ni kuongozwa na Viongozi wezi na Mafisadi
 
Kwa wanaowajua hao akina Jerome Rugemalila ni kawaida ,huwa anaendaga hadi final za super bowl ,NBA playoff games
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…