Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

Leo Magufuli anasifiwa na kukumbukwa kimafiki tu. Hiyo ndiyo kawaida ya Watanzania lazima wamponde aliyepo na kumsifia aliyepita, hata wewe britanicca ukipewa madaraka sidhani kama utakuwa tofauti na waliopo.

Alipkuja AH Mwinyi, Mama Sitti aliandamwa kila mahali kuwa anafanya biashara Ikulu.

Akaja Mkapa, Mama Anna Mkapa tukaambiwa amejigawia mgodi wa Kiwira, mara amnamiliki Lamada hotel pale Msimbazi.

Wakati wa JK tukaambiwa Riz1 anamiliki vituo vyote vya Lake Oil, na kwamba ile Big Bon ya Sinza ni mali yake.

Magufuli pamoja na ukali wake wankupinga ufisadi, hakuwa tofauti na watangulizi wake. Yeye alichagua kikundi kidogo cha wanafamilia wake na wasukuma kadhaa kama akina Biswalo Mganga, Makonda, Mnyeti, Dotto James, Mfugale, Kijazi etc ndiyo walikuwa wanakula mema ya nchi hii
 
Nani aliyewaambia Viongozi wa Nchi hii wapo kwaajili ya maslahi na ustawi wa Wananchi?

Mambo ya kuifia Nchi alikuwa nayo Nyerere pekee, ambaye hadi anakufa ameambulia kujengewa nyumba na Serikali ili kuogopa aibu wakati wa mazishi yake

Viongozi wa sasa wanashindana kununua majumba Dubai na UAE tu 🙌
 
Nyumba ile walijenga JKT chapchap.
 
Ndo maana nchi hii bila kujali historia za viongozi walopita yahitaji twaita "total overhaul" ya mifumo yote.

Hivi sasa kuna madai watu wameibiwa fedha zao kwenye moja ya mabenki yetu.

Moja ya hizi benki ina wateja wengi khasa wenye biashara ndogondogo kama uwakala ambao huenda benki na maboksi ya fwedha.

Total overhaul.
 
Nikiiangalia Nepal naiona Bangladesh sio Kenya
 
Nyumba ile walijenga JKT chapchap.
Mzee wa watu ilibidi Serikali iingilie kati kupitia JKT ili kumwondolea ile aibu

Saivi Viongozi wana ukwasi wa B kadhaa hadi wanapata uwezo wa kununua majumba Uingereza na Arabuni 🙌

Hadi Wazungu wanashangaa wanavyoenda kuomba misaada na Mikopo wakati kwenye akaunti zao za Nje wameficha Bilioni za kutosha 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…