Ni mwendo wa kujipimia jinsi kamba yako inavyokuruhusu maana yote hayo yana baraka za bi Mwenda [JIPIMIENI ILA MSIVIMBIWE]
Lini uliwahi kuona mwizi akatosheka.?
Hebu fikiria uishi katika nchi ambayo .
Makusanyo tunayoambiwa yamevunja rekodi 103% tangu tupate uhuru[huu ndio wimbo na turufu mpya ya machawa na kunguni wa bi Mwenda]
Matumizi ya anasa 93% [posho, mlungula,magari ya viongozi , kununua machawa/kunguni na ushawishi , kuhonga viongozi wa asasi za kiraia, dini kumjengea bi Mwenda ushawishi, kampeni zisizo na tija kama Mama ongea na mwanao, mama lishe wa Samia , chawa wa mama, mabondia wa mama ,safari za ndani na nje ya nchi na misafara isiyo na tija, na kadhalika]
Matumizi ya kimaendeleo 10% [ shule, afya ,maji , miundombinu , elimu na kadhalika]
Halafu ndio utakuta vidampa wanaolipwa $3 kwa siku wanatusumbua humu October wanaenda kutikisa viuno.