Maxence Melo pokea maua yako ugalia haiWanapigwa vita mno na Hapa la wanajitahidi sana yan Kwakuwa
Mgejua anayopitia Maxence Melo aisee ndo maana kuna muda tumpe maua yake
Britanicca
Samahani sana lakini kwa hili kama nitakuwa nimevuka mipaka. Jeshi letu, usalama wa taifa na majeshi yote ni wapumbavu hawatakiwi hata kutembea kikakamavu barabarani. Yaani nchi inaibiwa yapo tu yanatoa macho.
Nisamehewe sana na nazipenda kucha zangu tafadhali mnisamehe ila mnafanya upumbavu na ujinga mkubwa sana kuwalinda wezi wa rasilimali zetu watanzania.
Wewe jamaa unaongea blah blah tu. …hizo dolari alizoshikilia huyo binti huzioni? Na kama unaziona zina uhusiano gani na hizi porojo zako?Leo Magufuli anasifiwa na kukumbukwa kimafiki tu. Hiyo ndiyo kawaida ya Watanzania lazima wamponde aliyepo na kumsifia aliyepita, hata wewe britanicca ukipewa madaraka sidhani kama utakuwa tofauti na waliopo.
Alipkuja AH Mwinyi, Mama Sitti aliandamwa kila mahali kuwa anafanya biashara Ikulu.
Akaja Mkapa, Mama Anna Mkapa tukaambiwa amejigawia mgodi wa Kiwira, mara amnamiliki Lamada hotel pale Msimbazi.
Wakati wa JK tukaambiwa Riz1 anamiliki vituo vyote vya Lake Oil, na kwamba ile Big Bon ya Sinza ni mali yake.
Magufuli pamoja na ukali wake wankupinga ufisadi, hakuwa tofauti na watangulizi wake. Yeye alichagua kikundi kidogo cha wanafamilia wake na wasukuma kadhaa kama akina Biswalo Mganga, Makonda, Mnyeti, Dotto James, Mfugale, Kijazi etc ndiyo walikuwa wanakula mema ya nchi hii
Bomba inatoa maziwa na Asali. 😔😔😔View attachment 3470529
View attachment 3470525
View attachment 3470525
View attachment 3470527
View attachment 3470527
Ni mwendo wa kujipimia jinsi kamba yako inavyokuruhusu maana yote hayo yana baraka za bi Mwenda [JIPIMIENI ILA MSIVIMBIWE]
Lini uliwahi kuona mwizi akatosheka.?
Hebu fikiria uishi katika nchi ambayo .
Makusanyo tunayoambiwa yamevunja rekodi 103% tangu tupate uhuru[huu ndio wimbo na turufu mpya ya machawa na kunguni wa bi Mwenda]
View attachment 3470528
Matumizi ya anasa 93% [posho, mlungula,magari ya viongozi , kununua machawa/kunguni na ushawishi , kuhonga viongozi wa asasi za kiraia, dini kumjengea bi Mwenda ushawishi, kampeni zisizo na tija kama Mama ongea na mwanao, mama lishe wa Samia , chawa wa mama, mabondia wa mama ,safari za ndani na nje ya nchi na misafara isiyo na tija, na kadhalika]
Matumizi ya kimaendeleo 10% [ shule, afya ,maji , miundombinu , elimu na kadhalika]
Halafu ndio utakuta vidampa wanaolipwa $3 kwa siku wanatusumbua humu October wanaenda kutikisa viuno.
🚮🚮Leo Magufuli anasifiwa na kukumbukwa kimafiki tu. Hiyo ndiyo kawaida ya Watanzania lazima wamponde aliyepo na kumsifia aliyepita, hata wewe britanicca ukipewa madaraka sidhani kama utakuwa tofauti na waliopo.
Alipkuja AH Mwinyi, Mama Sitti aliandamwa kila mahali kuwa anafanya biashara Ikulu.
Akaja Mkapa, Mama Anna Mkapa tukaambiwa amejigawia mgodi wa Kiwira, mara amnamiliki Lamada hotel pale Msimbazi.
Wakati wa JK tukaambiwa Riz1 anamiliki vituo vyote vya Lake Oil, na kwamba ile Big Bon ya Sinza ni mali yake.
Magufuli pamoja na ukali wake wankupinga ufisadi, hakuwa tofauti na watangulizi wake. Yeye alichagua kikundi kidogo cha wanafamilia wake na wasukuma kadhaa kama akina Biswalo Mganga, Makonda, Mnyeti, Dotto James, Mfugale, Kijazi etc ndiyo walikuwa wanakula mema ya nchi hii
Watanzania sio wa kuwaonea huruma! hupaswi kuonea huruma majitu yanayosombwa kwenye malori kama nguruwe kwenda kuwapigia vigelegele watesi wao! Ukipata mrija na wewe pita NAO tu itajulikana mbele ya safari.Kuna watu wako huko vijijini hawana hata Pa kulala, kula enyewe ya labda, afu huku wengine wanaonesha madola na kutukana waja.
Kwani wao hawana roho ya nyama km binadamu wengine? Hofu? Huruma? Woga? Aibu? Hata UTU?
Duuuh 😢😢😭😭
Anaigiza hy ni MmomboAbdulqadir, fala mmoja hivi bottom lgbtq.
Fikiria leo ni tarehe 12 watumishi wengine wameshamaliza mshahara pamoja na salary advance wameshakula na bado siku nyingine 12 ndo mshahara mwingine uingie, halafu kitaa unakutana na habari kama hii na haufanyi chochote zaidi zaidi unasubiri tarehe 29 ifike ukawasaidie kujaza karakatasi za kura ma vema na kuzirundika masundukuni.Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi,
Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine
Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini
Aliniambia hivi “Magufuli alikuwa dikteta na mwenye hulka ya ujuaji bila kusikiliza Wengine ila hakuwa na Ujinga na Ubadhilifu Kama tunaopitia” akaendelea kwamba Naona wapuuzi na wajinga wajinga wame rudi kwa kasi sana mitandaoni wanashabikia wasiyoyajua” mpaka tunaongea kuna Pesa ya mkurugenzi wa Kitengo fulan ***** iko Seychelles na Maldavies, nikashangaa, akaongeza kwamba amenunua hisa kwa majina ya watu kadhaa kwenye DSE na BONds, Majina aliyataja nikaona kuna ukweli, anaendelea kueleza kwamba pamoja ni Hiyo si yeye tu alipewa 6B alafu Mwingine Mkuu wale Mbwa wakakamavu amepewa 1B ( wale wa tumelikamata lijambazi)
Hela hii ni kwa ajili ya kuhakikisha hakuna maguu ya mtu yeyote kukanyaga barabarani kudai haki lazima wasilibwe!
Mpaka sasa tunaongea wakuu wa idara kadha wa kadha hawafanyi kazi kwa ufanisi walk bali wa maelekezo ya boss wao
Britanicca
Vipi zile tabiri zako??Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi,
Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine
Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini
Aliniambia hivi “Magufuli alikuwa dikteta na mwenye hulka ya ujuaji bila kusikiliza Wengine ila hakuwa na Ujinga na Ubadhilifu Kama tunaopitia” akaendelea kwamba Naona wapuuzi na wajinga wajinga wame rudi kwa kasi sana mitandaoni wanashabikia wasiyoyajua” mpaka tunaongea kuna Pesa ya mkurugenzi wa Kitengo fulan ***** iko Seychelles na Maldavies, nikashangaa, akaongeza kwamba amenunua hisa kwa majina ya watu kadhaa kwenye DSE na BONds, Majina aliyataja nikaona kuna ukweli, anaendelea kueleza kwamba pamoja ni Hiyo si yeye tu alipewa 6B alafu Mwingine Mkuu wale Mbwa wakakamavu amepewa 1B ( wale wa tumelikamata lijambazi)
Hela hii ni kwa ajili ya kuhakikisha hakuna maguu ya mtu yeyote kukanyaga barabarani kudai haki lazima wasilibwe!
Mpaka sasa tunaongea wakuu wa idara kadha wa kadha hawafanyi kazi kwa ufanisi walk bali wa maelekezo ya boss wao
Britanicca
Mimi sijaelewa. Kwa hiyo anapofanya mabaya asisemwe au?Leo Magufuli anasifiwa na kukumbukwa kimafiki tu. Hiyo ndiyo kawaida ya Watanzania lazima wamponde aliyepo na kumsifia aliyepita, hata wewe britanicca ukipewa madaraka sidhani kama utakuwa tofauti na waliopo.